|
Katibu
Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema(shati jeupe) Alan
Augustine na Meneja Huduma kwa wateja kanda ya Ziwa wa kampuni ya Tigo,
Beatrice Kinabo wakikata utepe kuzindua duka la Sengerema mkoani Mwanza
jana, Meneja Mauzo mkoa wa Geita Lugutu Lugutu akishuhudia.
|
Katibu
Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema(kushoto) Alan Augustine
akibadilishana mawazo na Meneja Huduma kwa wateja kanda ya Ziwa wa
kampuni ya Tigo Beatrice Kinabo, baada ya kuzindua duka la Tigo mjini
Sengerema.
|
|
|
Wananchi wa Sengerema wakishuhudia uzinduzi wa duka. |
|
Meneja
Huduma kwa wateja kanda ya Ziwa wa kampuni ya Tigo, Beatrice Kinabo,
akizungumza na wakazi wa Sengerma wakati wa uzinduzi wa duka la Tigo
jana. |
|
Meneja
Mauzo Tigo mkoa wa Geita ambaye anasimamia hadi Sengerema Lugutu
Lugutu, akizungumza na wakazi na wafanyakazi wa Tigo mjini Sengerema
wakati wa uzinduzi wa duka hilo. |
|
Wakazi wa Sengerema mjini na maeneo ya jirani, wakiangalia simu zitakazokuwa zinauzwa ndani ya duka hilo wakati wa uzinduzi jana
|
Wananchi wa Sengerema wakishuhudia uzinduzi wa duka.
|
|
Duka hilo kurahisisha na kuboresha upatikanaji wa huduma kwa wateja wa simu
Yazindua promosheni ya ‘Back to school’ mahsusi kwa wateja wa Kanda ya Ziwa
Sengerema, 2 Desemba 2017- Katika
mwendelezo wa juhudi zake za kuboresha huduma kwa wateja wa simu
nchini, kampuni inayoongoza kwa mageuzi ya kidigitali Tigo leo imezindua
duka jipya la kisasa mjini Sengerema, Wilaya ya Geita.
No comments :
Post a Comment