Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Umoja wa Falme
za Kiarabu UAE Abdullah Ibrahim Al-Suwaidi aliyeambatana na Ujumbe wake
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Balozi
wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Abdullah Ibrahim Al-Suwaidi wa pili
kutoka (kushoto) aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu jijini Dar es
Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa mambo ya Nje Balozi Dkt.
Augustine Mahiga na Balozi Zuhura Bundala wa kwanza (kulia)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Kampuni ya
Total Momar Nguer mara baada ya kuwasili Ikulu pamoja na ujumbe wake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Kampuni ya Total
Momar Nguer mara baada ya kamaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais
wa Kampuni ya Total Momar Nguer wa tatu kutoka (kushoto ) aliyeambatana
na ujumbe wake mara baada ya kamaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar
es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa mambo ya Nje Balozi Dkt.
Augustine Mahiga, Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, Waziri wa
Viwanda na Biashara Charles Mwijage pamoja na Balozi Zuhura Bundala wa
kwanza (kulia).
PICHA NA IKULU
…………..
No comments :
Post a Comment