Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Uzalendo na Utaifa
uliofanyika jana usiku kwenye ukumbi wa mikutano Chimwaga mkoani Dodoma
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed
Shein akitoa nasaha zake wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Uzalendo na
Utaifa kwenye ukumbi wa mikutano Chimwaga, mkoani Dodoma.
Waziri
Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akihutubia
wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha Kampeni ya Uzalendo na Utaifa
Kwanza katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dodoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kitabu cha Uzalendo na Utaifa.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akionyesha muonekano wa kitabu cha Uzalendo na Utaifa mara baada ya
uzinduzi wa kampeni ya Uzalendo na Utaifa uliofanyika jana usiku kwenye
ukumbi wa mikutano Chimwaga mkoani Dodoma.
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment