Waziri
wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa,
Balozi Augustino Maiga (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari
mara baada ya mazungumzo na Kamati maalumu ya Umoja wa Mataifa (UN)
iliyoundwa kutetea haki za msingi za raia wa Wapalestina alipokutana
nayo jijini Dar es Salaam. Kulia ni
Balozi wa
Palestina katika Umoja wa Mataifa (UN) na mjumbe wa Kamati ya UN kutetea
haki za msingi za Wapalestina, Dk. Riyad Mansour.
Waziri
wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa,
Balozi Augustino Maiga (katikati) akizungumza na waandishi wa habari
mara baada ya mazungumzo na Kamati maalumu ya Umoja wa Mataifa (UN)
iliyoundwa kutetea haki za msingi za raia wa Wapalestina alipokutana
nayo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Balozi wa
Palestina katika Umoja wa Mataifa (UN) na mjumbe wa Kamati ya UN kutetea
haki za msingi za Wapalestina, Dk. Riyad Mansour na Balozi wa Senegal
katika Umoja wa Mataifa (UN) na mjumbe wa Kamati ya UN kutetea haki za
msingi za Wapalestina, Mr. Fode Seck (kushoto).
Balozi
wa Palestina katika Umoja wa Mataifa (UN) na mjumbe wa Kamati ya UN
kutetea haki za msingi za Wapalestina, Dk. Riyad Mansour (katikati)
akisaini kitabu cha historia na taarifa mbalimbali za mwenendo wa
majadiliano kutafuta suluhu ya mgogoro wa Wapalestina na Waisraeli kabla
ya kumkabidhi Balozi Augustino Maiga.
Balozi
wa Senegal katika Umoja wa Mataifa (UN) na mjumbe wa Kamati ya UN
kutetea haki za msingi za Wapalestina, Mr. Fode Seck (wa pili kulia) na
wajumbe wengine wa kamati hiyo wakimkabidhi Waziri wa Mambo ya Nje,
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Augustino
Maiga (wa kwanza kushoto) kitabu cha historia na taarifa mbalimbali za
mwenendo wa majadiliano kutafuta suluhu ya mgogoro wa Wapalestina na
Waisraeli walipo mtembelea.
KAMATI maalum ya Umoja wa Mataifa
(UN) iliyoundwa kutetea haki za msingi za raia wa Wapalestina ambayo ipo
nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi imewahakikishia Watanzania kwa
kushirikiana na wadau mbalimbali itamaliza mgogoro uliopo kati ya
Palestina na Israeli ili raia wa Parestina wapate haki yao.
Katika ziara yao kamati hiyo
inatarajia kukutana na wadau mbalimbali nchini Tanzania kuelezea hatua
waliofikia katika kutatua mgogoro huo.
Waziri
wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa,
Balozi Augustino Maiga (kulia) akipitia kitabu cha historia na taarifa
mbalimbali za mwenendo wa majadiliano kutafuta suluhu ya mgogoro wa
Wapalestina na Waisraeli walipo mtembelea mara baada ya
kukabidhiwa.Kutoka kushoto ni Balozi wa Palestina katika Umoja wa
Mataifa (UN) na mjumbe wa Kamati ya UN kutetea haki za msingi za
Wapalestina, Dk. Riyad Mansour na Balozi wa Senegal katika Umoja wa
Mataifa (UN) na mjumbe wa Kamati ya UN kutetea haki za msingi za
Wapalestina, Mr. Fode Seck.
Ofisa
Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Stella Vuzo
(kushoto) akitoa utaratibu wa mazungumzo katika mkutano huo na
wanahabari.
Balozi
wa Palestina katika Umoja wa Mataifa (UN) na mjumbe wa Kamati ya UN
kutetea haki za msingi za Wapalestina, Dk. Riyad Mansour akizungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya mazungumzo na Waziri
wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa,
Balozi Augustino Maiga jijini Dar es Salaam.
Balozi
wa Senegal katika Umoja wa Mataifa (UN) na mjumbe wa Kamati ya UN
kutetea haki za msingi za Wapalestina, Mr. Fode Seck (kushoto)
akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya
mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Kikanda na Kimataifa, Balozi Augustino Maiga (kulia) jijini Dar es
Salaam.
Balozi
wa Palestina katika Umoja wa Mataifa (UN) na mjumbe wa Kamati ya UN
kutetea haki za msingi za Wapalestina, Dk. Riyad Mansour akizungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya mazungumzo na Waziri
wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa,
Balozi Augustino Maiga jijini Dar es Salaam.
Ofisa
Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Stella Vuzo
(kushoto) akitoa utaratibu wa mazungumzo katika mkutano huo na
wanahabari.
Sehemu
ya wajumbe wa Kamati ya Umoja wa Mataifa (UN) iliyoundwa kutetea haki
za msingi za raia wa Wapalestina ikiwa katika mazungumzo na Waziri wa
Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa,
Balozi Augustino Maiga.
No comments :
Post a Comment