Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya
Viwanja vya Ndege Tanzania ikiwa katika kikao cha 33 cha kujadili
masuala mbalimbali ya utendaji wa mamlaka kwa kipindi cha robo ya kwanza
na pili ya mwaka wa fedha wa 2017/2018 kwa ajili ya matumizi.
Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka
ya Viwanja vya Ndege Tanzania, leo wakiwa kwenye ukumbi wa mikutano wa
Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) katika kikao
cha kawaida cha 33 cha kujadili masuala mbalimbali ya utendaji ya
mamlaka kwa kipindi cha robo ya kwanza na pili ya mwaka wa fedha
2017/2018.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka
ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayongela (kulia) leo
akimweleza jambo Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri (MAB) ya mamlaka hiyo,
Prof. Mhandisi Ninatubu Lema (katikati), katika kikao cha 33 cha
Kawaida cha kujadili robo ya kwanza na pili ya mwaka wa fedha 2017/2018
kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kiwanja cha ndege cha
Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA).
Wajumbe wa Bodi ya Ushauri (MAB)
ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, wakiwa katika kikao cha
kawaida cha 33 cha kujadili masuala mbalimbali ya utendaji kwa kipindi
cha robo ya kwanza na pili ya mwaka wa fedha 2017/2018 kilichofanyika
kwenye ukumbi wa mikutano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius
Nyerere (JNIA).
No comments :
Post a Comment