aziri wa Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (watatu kushoto) akiwa katika picha ya
pamoja na mabalozi mbalimbali mara baada ya kufanya nao mazungumzo
kuhusu namna ya kushirikiana katika sekta ya Habari,Utamaduni na Michezo
leo jijini Dar es Salaam (wa pili kushoto) Balozi wa Palestina nchini
Riyad Mansour, (wapili kulia) Balozi wa Indonesia nchini Dian Djani na
(wakwanza kushoto) Balozi wa Namibia nchini Neville Gertze.
alozi wa Palestina nchini Riyad
Mansour akizungumza na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.
Harrison Mwayembe (hayupo pichani) namna nchi yake inaweza kushirikiana
na Tanzania katika sekta ya Habari,Utamaduni na Michezo walipokutana
ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Indonesia nchini Dian
Djani (kushoto)akizungumza na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Dkt. Harrison Mwayembe (hayupo pichani) kuhusu nchi yake
kuhitaji ushirikiano na Tanzania katika sekta ya Habari na Utamaduni
alipotembelea ofisi yake jijini leo Dar es Salaam.
alozi wa Namibia nchini Neville
Gertze (kushoto)akizungumza na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Dkt. Harrison Mwayembe (kulia) kuhusu nchi yake kutaka
kushirikiana na Tanzania katika masuala ya Habari na Utamaduni
alipotembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment