Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya
Zanzibar Dkt. Fadhil Mohammed Abdallah akizungumza na wandishi wa habari
kuhusu zoezi la utoaji wa matone ya Vitameni A, Dawa za minyoo na
upimaji wa hali ya lishe kwa watoto wenye umri wa miezi sita hadi miaka
mitano kuanzia tarehe 1 hadi 31 mwezi kesho.
Mwandishi wa habari wa Star TV
Abdalla Pandu akiuliza swali katika mkutano huo uliofanyika ukumbi wa
Wizara ya Afya Mnazimmoja, Mjini Zanzibar.
Afisa wa Lishe Wizara ya Afya
Zanzibar Bi. Asha Hassan akijibu maswali yaliyoulizwa na wandishi wa
habari katika mkutano wa kutoa tarifa ya utoaji matone ya Vitamini A
Dawa za minyoo na upimaji hali ya lishe uliofanyika Wizara ya Afya Mjini
Zanzibar.
Picha na Makame Mshenga.
No comments :
Post a Comment