WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKIWASIKILIZA MAWAZIRI
Waziri
MKuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
TAMISEMI, Bw. Selemani Jaffo wakati wa Kikao cha Kwanza Mkutano wa tisa
wa Bunge kilicho anza leo Novemba 7/2017 Mjini Dodoma. PICHA NA OFISI YA
WAZIRI MKUU
Waziri
MKuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii
Jinsia Wazee na Watoto, Umi Mwalimu, wakati wa Kikao cha Kwanza Mkutano
wa tisa wa Bunge kilicho anza leo Novemba 7/2017 Mjini Dodoma
No comments :
Post a Comment