Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe. Jenista Mhagama akisisistiza jambo kwa wajumbe wa Kikao cha wadau
wa masuala ya Ajira na Ukuzaji Ujuzi kilichofanyika Mjini Dodoma Novemba
7, 2017.
Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bw.
Erick Shitindi akisisitiza jambo kuhusu mkakati wa Serikali kuboresha
mazingira ya Ajira hapa nchini walipokutana leo Mjini Dodoma katika
kikao cha Wadau wa masuala ya Ajira na Ukuzaji Ujuzi.
Mkurugenzi
Mtendaji wa TPSF Bw .Geodfrey Simbeye akisisitiza jambo wakati wa Kikao
cha pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira
na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akisisitiza jambo kwa
wajumbe wa Kikao cha kujadili masuala ya Ajira na Ukuzaji Ujuzi.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa akichangia
mada kuhusu ushiriki wa watu wenye ulemavu katika programu
zinazotekelezwa na Serikali katika masuala ya Ajira na Ukuzaji Ujuzi ili
kujikwamua kiuchumi.
Wajumbe
wa kikao cha kujadili masuala ya Ajira na Ukuzaji Ujuzi wakimsikiliza
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye
Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama wakati wa kikao cha Kujadili Masuala ya
Ajira na Ukuzaji Ujuzi kilichofanyika Mjini Dodoma.
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment