Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 12
ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Mkurugenzi wa Wizara ya
Elimu na Mafunzo ya Amali ZanzibarMashavu Ahmad Fakir akihutubia wakati
wa kutunuku vyeti kwa wahitimu wa Ngazi ya Shahada na Astashahada wa
chuo hicho kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya
Mwalimu Nyerere , Prof . Shadrack Mwakalila akizungumza juu ya mipango
ya chuo hicho wakati wa mahafali ya 12 yaliyofanyika katika jengo la
utamaduni la MNMA Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 12 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Mkurugenzi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali ZanzibarMashavu Ahmad Fakir akikabidhi zawadi kwa Mwanafunzi aliyefanya vizuri katika mwaka wa masomo 2017
Baadhi ya wahitmu wa Shahada ya
Maendeleo ya Jinsia ya MNMA Wakiwa wanasubiri kutunukiwa shahada zao
wakati wa mahafali ya 12 ya Chuo hicho yaliyofanyika jijini Dare s
Salaam
Mgeni Rasmi katika Mahafali ya
12 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Mkurugenzi wa Wizara ya
Elimu na Mafunzo ya Amali ZanzibarMashavu Ahmad Fakir akiwa katika
picha ya pamoja na Wanafunzi waliofanya Vizuri
No comments :
Post a Comment