WAKANDARASI
wa Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO) na wale wa kigeni, wakiendelea
kuchapa kazi leo Novemba 25, 2017 ili kukamilisha hatua ya kwanza ya
ujenzi wa mitambo Kinyerezi II jijini Dar es Salaam, ambapo kwa mujibu
wa Kaimu Meneja Uhusiano wa TANESCO, Bi. Leila Muhaji, kasi ya ujenzi
inaridhisha na kwamba katika hatua hiyo ya kwanza TANESCO inatarajia
kuingiza kiasi cha umeme Megawati 30 kwenye Gridi ya Taifa ifikapo
Desemba 7, 2017 na hivyo kuongeza kiasi cha umeme katika safari ya
kupata umeme wa uhakika na wakutosha kwenye ujezni wa uchumi wa Viwanda.
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


No comments :
Post a Comment