Naibu Waziri Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt.Faustine Ndugulile(katikati)akiongea na
Viongozi na Watendaji wa Afya Afya Mkoa na Wilaya ya Mtwara wakati wa
zoezi la kutoa ngao na vyeti kwa vituo vya afya vilivyo na ubora wa
huduma za afya.Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe.Evod Mmanda na
kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa Dkt.Wedson Sichalwe
Mkuu wa Wilaya MHE.Evod Mmanda akiongea wakati wa mkutano huo
Mkurugenzi wa Idara ya Ubora na
Uhakiki wa Huduma za Afya toka Wizara ya Afya Dkt.Mohamed Mohamed
akielezea tathimini ilivyofanyika katika Mkoa huo mwaka 2016 na
Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu Kuibuka mshindi kwa kupata ngao na
chet
Dkt.Ndugulile akimkabidhi Kaimu
Mganga Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Dkt.Furaha Mwakafyila Ngao baada ya
kuibuka mshindi wa Huduma za afya katika vituo vya afya
Afisa Tawala wa Wilaya ya Nanyumbu Salumu Palango akimpongeza Kaimu Mganga Mkuu wake baada ya kupokea ngao
Naibu Waziri akimpongeza Kaimu
Mganga Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu baada ya kuibuka mshindi.Dkt.Ndugulile
aliipongeza Wilaya hiyo kwa mpangilio mzuri wa utoaji huduma pamoja na
utunzaji wa kumbukumbu kwenye stoo ya dawa katika kituo cha afya cha
Mtambaswala ambacho kimeanza miezi miwili iliyopita lakini kimeonyesha
ufanisi wa hali ya juu
Picha ya pamoja mara baada ya Naibu Waziri kutoa ngao na vyeti kwa washindi kwa Mkoa wa Mtwara
Dkt.Ndugulile akisoma taarifa ya
dawa katika Zahanati ya Ziwani iliyopo Manispaa ya Mtwara,ambapo Naibu
Waziri huyo alichukizwa hali ya miundombinu na uwajibikaji wa Zahanati
hiyo na kuwapa miezi miwili wawe wamefanya marekebisho kama
walivyoelekezw
Mkuu wa Zahanati ya Shangani akipokea cheti kutoka kwa Naibu Waziri wa Afya
………………………………………………………………………………
Na.WAMJW,Mtwara
Serikali inatarajia kutoa leseni
kwa hospitali na vituo vya afya vya Umma vitakavyokidhi vigezo vya ubora
wa kutoa huduma za afya ili mwananchi wajue kituo atakachoenda kina
ubora gani wa huduma hivyo nchini
Hayo yamesemwa jana na Naibu Waziri wa Afya,Maendele
No comments :
Post a Comment