Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi wa
Wilaya ya Misenyi(hawaonekani pichani) wakati akielekea katika kiwanda
cha Sukari cha Kagera Sugar kilichopo Wilayani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiandika wakati wananchi
wa Misenyi walipokuwa wakiwasilisha Kero zao mara baada ya kusimama
wakati akiwa njiani kuelekea katika Kiwanda cha Sukari cha Kagera Sugar
kilichopo wialayani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokewa kwa shangwe na
Mamia ya wananchi wa Misenyi mara baada ya kuwasili Wialayani hapo
akitokea Bukoba mjini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasikiliza wananchi wa
Misenyi wakati wakitoa kero zao mbalimbali mara baada ya kuwasili.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu akizungumza katika eneo hilo la Misenyi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mke wake Mama
Janeth Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu
Salum Kijuu wa pili kutoka kushoto , Waziri wa Kilimo Dkt. Charles
Tizeba wa kwanza (kulia) wakisikiliza mtaalamu wa Kilimo (haonekani
pichani) aliyekuwa akielezea mambo mbalimbali katika mashamba ya miwa
katika Kiwanda hicho cha Sukari cha Kagera Sugar kilichopo Misenyi
mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Shamba la miwa
la Kiwanda hicho cha Sukari cha Kagera Sugar kilichopo Misenyi mkoani
Kagera
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Mitambo ya
kuchujia na kuvutia maji kwa ajili ya Mashamba ya Kiwanda cha Sukari cha
Kagera Sugar, mitambo hiyo ipo pembezoni mwa Mto Kagera katika Wilaya
ya Misenyi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua mbegu na mbolea
inayotumika katika mashamba hayo ya miwa ya Kiwanda cha Sukari cha
Kagera Sugar kilichopo Misenyi mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja katika Mashamba hayo ya miwa na viongozi wa Kiwanda hicho cha
Sukari cha Kagera Sugar, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu
Salum Kijuu wa kwanza kulia akifatiwa na Waziri wa Kilimo Dkt. Charles
Tizeba na Waziri wa Viwanda Charles Mwijage wa kwanza kulia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi
(Vibarua) wanaofanyakazi katika Kiwanda cha Sukari cha Kagera Sugar
wakati akielekea kiwandani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua baadhi ya mashamba
hayo ya miwa ya Kiwanda cha Kagera Sugar kilichopo Wilayani Misenyi
mkoani Kagera.
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment