Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na
Mipango, Bw. Doto James (kulia) akiwa na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya
Dunia katika nchi za Tanzania, Malawi, Burundi na Msumbiji Bi. Bella
Bird, wakielekea kusaini Mkataba wa mkopo nafuu wa Dola za Marekani
milioni 150 (Sh. bilioni 340) kwa ajili ya kufungua utalii katika Ukanda
wa Kusini mwa Tanzania, Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Maafisa waandamizi wa
Wizara ya Fedha na Mipango, na Katibu Mkuu Wizara ya maliaasili na
Utalii( wa kwanza kushoto) wakifuatilia kwa makini tukio la kusainiwa
kwa Mkataba wa mkopo nafuu wa Dola za Marekani milioni 150 (Sh. bilioni
340) kwa ajili ya kufungua utalii katika Ukanda wa Kusini mwa Tanzania,
Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili
na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi, akitoa neon la shukurani
wakati wa kusainiwa kwa Mkataba wa Mkopo Nafuu kati ya Serikali ya
Tanzania na Benki ya Dunia wenye thamani ya Dola za Marekani milioni
150 (Sh. bilioni 340) kwa ajili ya kufungua utalii katika Ukanda wa
Kusini mwa Tanzania, Jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Mwakilishi
Mkazi wa Benki ya Dunia katika nchi za Tanzania, Malawi, Burundi na
Msumbiji Bi. Bella Bird.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na
Mipango, Bw. Doto James (wa pili kulia) na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya
Dunia katika nchi za Tanzania, Malawi, Burundi na Msumbuji, Bi. Bella
Bird, wakisaini Mkataba wa Mkopo wenye masharti nafuu wa Sh. Dola za
Marekani milioni 150 sawa na Shilingi bilioni 340 kwa ajili ya Mradi wa
kuibua fursa za Utalii Ukanda wa Kusini mwa Tanzania, huku Katibu Mkuu
Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi (wa pili
kulia waliosimama-tai nyekundu) akishuhudia, katika Ukumbi wa Wizara ya
Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na
Mipango, Bw. Doto James (wa pili kulia) na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya
Dunia katika nchi za Tanzania, Malawi, Burundi na Msumbuji, Bi Bella
Bird, wakisaini Mkataba wa Mkopo wenye masharti nafuu wa Sh. Dola za
Marekani milioni 150 sawa na Shilingi bilioni 340 kwa ajili ya Mradi wa
kuibua fursa za Utalii Ukanda wa Kusini mwa Tanzania, katika Ukumbi wa
Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Hifadhi za Taifa-TANAPA, Bw. Allan Kijazi na Mwakilishi Mkazi wa Benki
ya Dunia katika nchi za Tanzania, Malawi, Burundi na Msumbuji, Bi Bella
Bird, wakisaini Makubaliano ya utekelezaji wa Mkataba wa Mradi wa kuibua
fursa za Utalii Ukanda wa Kusini mwa Tanzania utakao gharimu Shilingi
bilioni 340 zilizotolewa kama mkopo wenye masharti nafuu na Benki hiyo
kwa Tanzania, Ofisi za Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar es Salaam.

Wanaoshuhudia nyuma ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto
James, (wa pili kulia waliosimama akifuatiwa na Katibu Mkuu Wizara ya
Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi, Jijini Dar es
Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na
Mipango, Bw. Doto James (kulia) na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia
katika nchi za Tanzania, Malawi, Msumbiji na Burundi Bi. Bella Bird
(kushoto) wakibadilishana Mkataba wa Mkopo wenye masharti nafuu wa Sh.
bilioni 340 kwa ajili ya Mradi wa kuibua fursa za Utalii katika Ukanda
wa Kusini mwa Tanzania, katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango
Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na
Mipango, Bw. Doto James (kulia) na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia
katika nchi za Tanzania, Malawi, Msumbiji na Burundi Bi. Bella Bird
(kushoto) wakionesha Mkataba wa Mkopo wenye masharti nafuu wa Sh.
bilioni 340 kwa ajili ya Mradi wa kuibua fursa za Utalii katika Ukanda
wa Kusini mwa Tanzania, baada ya kusainiwa katika Ukumbi wa Wizara ya
Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango)
………………….
Benny Mwaipaja, Dar es Salaam
BENKI ya Dunia imeipatia Tanzania
Mkopo wenye masharti nafuu wa Dola za Marekani milioni 150, sawa na
takriban Shilingi bilioni 340 kwa ajili ya kutekeleza mradi mkubwa wa
kufungua fursa za utalii katika Ukanda wa Kusini mwa Tanzania.
No comments :
Post a Comment