Friday, November 10, 2017

RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA WAFUNGUA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA ZA MPAKANI


u (2)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakiwa wamesimama wakati nyimbo za Taifa za nchi zao pamoja na wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zikipigwa kabla ya kuanza kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post – OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
u (6)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima kabla ya kuanza kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post – OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
u (7) u (9)
Mke wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akiwa na Mke wa Rais wa Uganda Mama Janeth Museveni wakati nyimbo za taifa zikipigwa  kabla ya kuanza kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post – OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
u (10)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha ujumbe alioongozana nao kwa mwenyeji wake  Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kabla ya kuanza kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post – OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
u (11) u (12)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni na wake zao wakifurahia ngoma ya utamadini ikiwa ni mojawapo ya burudani  zilizopamba sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post – OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
u (18)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni na wake zao wakifurahia baada ya  kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post – OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
u (20)
u (22)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakiongozana na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere baada ya kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post – OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
u (29)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Mgufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni na wake zao wakifurahia ngoma ya utamadini ikiwa ni mojawapo ya burudani  zilizopamba sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post – OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
u (31)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
u (36)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakiongozana na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere baada ya kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post – OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
u24 u25
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakisalimiana na baadhi ya watanzania waishio Uganda waliohudhuria mkutano wa hadhara uliohutubiwa na viongozi hao wawili mjini Masaka baada ya kutoka kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post – OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
u26
Baadhi ya Mwaziri wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wakiwa katika uzinduzi huo.
u27
Ujumbe wa Tanzania ukiwasikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakihurubia  mkutano wa hadhara  mjini Masaka baada ya kutoka kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post – OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017

No comments :

Post a Comment