Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikagua gwaride la wanamaji wa Meli ya
Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017
kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban
juma zima katika bandari ya Dar es salaam.

Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembezwa sehemu mbalimbali na
Kiongozi Mkuu wa Meli ya Hospitali ya China Kamanda Guan Bailin
alipoitembele aleo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga
wanamaji na madaktari waliokuja nayo baada ya kutoa huduma kwa wananchi
kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.

Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akioneshwa video inayoonesha shughuli
za Meli ya Hospitali ya China alipoitembelea leo Jumapili Novemba 26,
2017 kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja nayo baada
ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya
Dar es salaam.

Baadhi ya Wachina waishio nchini
wakiwa Bandarini wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli
ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017
kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban
juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akitelemka kutoka katika Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo
Jumapili Novemba 26, 2017 wakati Rais Dkt. Magufuli alipoitembelea
kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja nayo baada ya
kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar
es salaam.
Baadhi ya Wachina waishio nchini
wakiwa Bandarini wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli
ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017
kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban
juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
Kiongozi Mkuu wa Meli ya
Hospitali ya China Kamanda Guan Bailin akiongea wakati Rais Dkt. John
Pombe Magufuli alipowatembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017
kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja na meli hiyo
baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari
ya Dar es salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akimshukuru Kiongozi Mkuu wa Meli ya Hospitali ya China Kamanda Guan
Bailin alipowatembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na
kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja na meli hiyo baada ya kutoa
huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es
salaam.
Mke wa Rais
Mama Janeth Magufuli akipeana mikono na Kiongozi Mkuu wa Meli ya
Hospitali ya China Kamanda Guan Bailin wakati Rais Dkt John Pombe
Magufuli alipowatembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na
kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja na meli hiyo baada ya kutoa
huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es
salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa
Bandarini wakifuatilia kinachoendelea wakati Rais Dkt John Pombe
Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo
Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma
kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance
Mabeho akiongea wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli
ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017
kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban
juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
Balozi wa China nchini Mhe Wang
Ke akiongea wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli ya
Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017
kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban
juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
Wanamaji wa Jeshi la Wananchi la
Tanzania wakiwa katika hafla ya ujio wa Rais Dkt John Pombe Magufuli
alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili
Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa
wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
Maafisa na Wanamaji wa Jeshi la
Wananchi la China wakiwa katika hafla ya ujio wa Rais Dkt John Pombe
Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo
Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma
kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
Baadhi ya Wachina waishio nchini
wakiwa Bandarini wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli
ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017
kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban
juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
Wanahabari wa China nwakiwa
bega kwa bega na wanahabari wa Tanzania wakati Rais Dkt John Pombe
Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo
Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma
kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wafanyakazi wa Bandari
alipoitembele Meli ya Hospitali ya China Jumapili Novemba 26, 2017
kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja nayo baada ya
kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar
es salaam.
Rais John Pombe Joseph Magufuli
akitelemka kutoka katika Meli ya Hospitali ya China alipoitembelea leo
Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari
waliokuja nayo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima
katika bandari ya Dar es salaam.
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment