Mkutano
huo wa Naibu Waziri wa Kilimo na wahariri wa vyombo vya habari nchini ni
mwanzo wa mahusiano chanya baina ya Waandishi wa habari na Wizara ya
kilimo ili kuinua sekta hiyo ikiwa ni pamoja na kuunga mkono kwa vitendo
juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe
Magufuli katika kuimarisha uuchumi wa Wananchi kupitia kilimo ambao ni
uti wa mgongo.
Mgeni
Rasmi-Naibu waziri wa Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa akizungumza na wahariri
wa vyombo mbalimbali vya habari nchini kwenye Mkutano uliofanyika katika
Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Jijini Dar
es salaam, Leo Novemba 24, 2017.
Baadhi
ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini wakimsikiliza kwa
makini Mgeni Rasmi-Naibu waziri wa Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa wakati
akizungumza kwenye Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Jijini Dar es salaam, Leo Novemba
24, 2017.

No comments :
Post a Comment