Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa
akimsikiliza Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mhe.Freeman
Mbowe wakati wa maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu leo Bungeni
Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa
akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa maswali ya papo kwa papo
kwa Waziri Mkuu wakati wa kikao cha tatu cha mkutano wa tisa wa bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akiteta jambo na Naibu Waziri wa
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Shonza wakati wa kikao cha
tatu cha mkutano wa tisa wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
leo Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa
akizungumza jambo na Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA) Mhe.Dk Imaculate
Semesi wakati wa kikao cha tatu cha mkutano wa tisa wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Mbunge wa Bukombe(CCM) Mhe.Doto
Biteko akiuliza swali wakati wa kikao cha tatu cha mkutano wa tisa wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani
Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa
kikao cha tatu cha mkutano wa tisa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na
Teknolojia Mhe.William Ole Nasha akitolea ufafanuzi hoja mbalimbali za
wabunge wakati wa kikao cha tatu cha mkutano wa tisa wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Wanafunzi wa kidato cha sita wa
Shule ya sekondari Dodoma wakiwa bungeni kujifunza shughuli mbalimbali
za bunge ilo wakati wa kikao cha tatu cha mkutano wa tisa wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza mkutano wa tisa wa Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Elimu,Sayansi na
Teknolojia Mhe.Prof Joyce Ndalichako akiwasilisha kauli ya Serikali
kuhusu udahili na utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa
mwaka 2017/2018 Bungeni mjini Dodoma.
Picha zote na Daudi Manongi.MAELEZO,DODOMA.
No comments :
Post a Comment