Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride maalum la
polisi wanawake kwenye kilele cha Maadhimisho ya miaka kumi ya Mtandao
wa Polisi Wanawake Tanzania yalioyofanyika kwenye Chuo Cha Taaluma ya
Polisi,Kurasini, Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkuu
wa Jeshi la Polisi mstaafu (IGP), Omar Mahita wakati wa maadhimisho ya
Miaka 10 ya Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania kwenye Chuo Cha Taaluma
ya Polisi Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo juu ya
umuhimu wa alama za barabarani kutoka kwa Koplo Faustina Nduguru wa
Kitengo cha Usalama Barabarani makamo makuu ya polisi Dar es Salaam
wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka kumi ya Mtandao wa Polisi
Wanawake Tanzania yalioyofanyika kwenye Chuo Cha Taaluma ya
Polisi,Kurasini, Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo juu kamera
kugundua wanaoendesha kwa mwendo mkali kutoka kwa Konstabo Sharifa
Ismail wa Kitengo cha Usalama Barabarani makamo makuu ya polisi Dar es
Salaam wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka kumi ya Mtandao wa
Polisi Wanawake Tanzania yalioyofanyika kwenye Chuo Cha Taaluma ya
Polisi,Kurasini, Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kamishna wa
Polisi Jamii Mussa Ali Mussa ambaye alimkaimu Mkuu wa Jeshi la Polisi
kwenye kilele cha Maadhimisho ya miaka kumi ya Mtandao wa Polisi
Wanawake Tanzania yalioyofanyika kwenye Chuo Cha Taaluma ya
Polisi,Kurasini, Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aakihutubia wakati wa
kilele cha Maadhimisho ya miaka kumi ya Mtandao wa Polisi Wanawake
Tanzania yalioyofanyika kwenye Chuo Cha Taaluma ya Polisi,Kurasini, Dar
es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kamishna wa
Polisi Jamii Mussa Ali Mussa ambaye alimkaimu Mkuu wa Jeshi la Polisi
kwenye kilele cha Maadhimisho ya miaka kumi ya Mtandao wa Polisi
Wanawake Tanzania yalioyofanyika kwenye Chuo Cha Taaluma ya
Polisi,Kurasini, Dar es Salaam kushoto ni IGP Mstaafu Said Mwema (Picha
na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments :
Post a Comment