Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wananchi
wa mkoa wa Kilimanjaro katika maadhimisho ya Wiki ya nenda kwa Usalama
Barabarani kitaifa yaliyofanyika mkoani humo, leo.
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la
Taifa la Usalama Barabarani, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Wizara
yaUjenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhe. Elius
Kwandikwa (Mb),akielezea mikakati ya Serikali katika kudhibiti ajali za
barabarani katika maadhimisho ya Wiki ya nenda kwa Usalama Barabarani
kitaifayaliyofanyika mkoani Kilimanjaro, leo.
Wanafunzi na Wananchi
wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Samia Suluhu Hassan,katika maadhimisho ya Wiki ya nenda kwa Usalama
Barabarani kitaifa yaliyofanyika mkoani humo, leo.
……………..
MaderevawaPikipiki
(bodaboda)nchiniwametakiwakutiisheriazaUsalamaBarabaranibilashurutikwaniajalinyingizinazotokeabarabaranizimekuwazikisababishwanauzembeunaofanywanamaderevahao.
Akizungumzaleokatikamaadhimishoya ...
wiki yanendakwausalamakitaifamkoani Kilimanjaro
MakamuwaRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania,MheshimiwaSamiaSuluhu
Hassan,amesemakuwachanzokikuu cha
ajalihizoniuharakawalionaomaderevahaonaukosefuwamafunzoyausalamabarabaranikwabaadhiyamadereva.
“Maderevawabodabodanaombambadilike,
muwenatabiayakutii sharia
zausalamabarabaranibilashurutikwaniajalinyinginchinizimekuwazikisababishwananyinyikutokananaharakaharakazenu”,
amesemaMakamuRais.
Aidha,
amefafanuakuwaTathminiiliyofanywanaJeshi la PolisiKitengo cha
UsalamaBarabaranikuanziamweziJanuarihadiSeptembamwakahuukatikamkoawa
Kilimanjaro imebainikuwakunaajalizaPikipiki 84
zilizojitokezaambazokatiyahizo, 61
zimesababishavifonazilizobakimajeruhi.
KuhusuajalizamabasiyaabiriaMheshimiwaMakamuwaRaisamesemakuwazimepunguakutokananauwepowambinuzaudhibitiwamabasihayokama
vileupigajipichakwamagariyanayozidishaspidiyakiwabarabarani (Tochi),
naukaguziwamarakwamaraunaofanywanaJeshi la polisikupitiaKitengo cha
UsalamaBarabaranikatikamagariyaabirianchini.
MakamuwaRaisamefurahishwanamkakatiwaSerikaliwauandaajiwamfumompyanawakisasawakuwekakamerazitakazorekodimakosayausalamabarabaraniyanayofanywanamaderevanchini.
AmetoaraikwaAskariwaUsalamaBarabaranikutotumiakigezo
cha kupigaTochikwakuwaonea,
kuwanyanyasamaderevanakudairushwakwanivitendohavikubalikikisherianahatua
kali zitachukuliwakwayeyoteanayejihusishanavitendohivyo.
“Taswiratunayoitakanikuwawananchiwawaoneaskarikamawalinziwamalizaonamaishayaonasivinginevyo”, amesisitizaMakamuwaRais.
Katikahatuanyingine,
MakamuwaRaisamelitkaBaraza la Taifa la UsalamaBarabaraninawadau wake
kuhakikishawanabadilishambinuzanamnayakukabiliananatatizo la
ajalinchininakuongezanguvukatikakudhibitimwendokasi, ulevikwamadereva,
kutovaakofiangumukwawaendeshabodaboda,
kutofungamkandakwabaadhiyaabirianaukosefuwavifaavyakuwalindawatotowadogowakiwakwenyegari.
Kwaupande wake, MwenyekitiwaBaraza
la Taifa la UsalamaBarabaraniambayepianiWaziriwa Mambo yaNdaniyaNchi,
MheshimiwaMwiguluNchemba (Mb),
amemhakikishiaMakamuwaRaiskuwawataboreshanakuundambinumbalimbaliilikudhibitiajalizabarabaranizinazowezakuepukika.
AmewatakawananchikuungamkonojitihadazinazofanywanaSerikalikatikakupunguzaajalizaBarabaraninakuwasisitizamaderevakuzingatiasheriazausalamaBarabaranikwanihatua
kali zitachukuliwakwayeyoteanayekiukasheriahizo.
Naye,
MakamuMwenyekitiwaBarazahilo, ambayepianiNaibuWaziriwaWizarayaUjenzi,
UchukuzinaMawasiliano (SektayaUjenzi), Mhe. EliusKwandikwa(Mb),
amesemakuwaBarazalimekuwalikifanyajitihadambalimbaliilikudhibitiajalizabarabaranikamautoajiwaelimukwaummakupitiavyombovyaHabarikamaTelevisheninaRediopamojanauandaajiwaviperushinamajarida.
Maadhimishoya Wiki
yanendakwaUsalamaBarabaraniKitaifayaliyobebakaulimbiu “Zuiaajali,
TiiSheria – Okoamaisha”, kwamwakahuuyameadhimishwamkoani Kilimanjaro
amabapoyameshirikishawadaumbalimbaliwausalamanchini.
ImetolewanaKitengo cha MawasilianoSerikalini, WizarayaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano.
No comments :
Post a Comment