Sunday, October 1, 2017

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAZEE DUNIANI CHA FANYIKA ZANZIBAR.

DSC_0157
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akisisitiza jambo alipotoa hotuba katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka  Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu “Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
DSC_0017
Baadhi ya Wazee waliohudhuria katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka  Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu “Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.
DSC_0076
Mzee Bibi Fatma Nyerere akisoma Risala ya Wazee katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka  Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu “Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.
DSC_0100
Mkurugenzi wa Shirika la Kuhudumia Wazee Duniani(Help Age International)Smart Daniel akitoa hotuba kuhusiana na Wazee katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka  Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu “Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii
DSC_0108
Katibu Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Fatma Gharib Bilal akitoa maelezo kuhusiana siku ya Wazee katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka  Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu “Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.
DSC_0120
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Castico akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni Rasmi  katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka  Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu “Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.
DSC_0132
Mgeni Rasmi Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo kushoto akimkabidhi Bihalima Pandu Mkaazi wa Jambiani Kikadini kitambulisho maalum kitakacho msaidia kwa sasa kupata Pensheni Jamii na kumrahisishia huduma mbalimbali za Afya na Usafiri katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka  Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu “Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.

No comments :

Post a Comment