Waziri wa Afya Mahmoud Thabit
Kombo akisisitiza jambo alipotoa hotuba katika kilele cha Maadhimisho ya
siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini
Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu “Tusonge mbele kwa kutumia
Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Baadhi ya Wazee waliohudhuria
katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika
Chwaka Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu
“Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika
kuleta Maendeleo ya Jamii.
Mzee Bibi Fatma Nyerere akisoma
Risala ya Wazee katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani
yaliofanyika Chwaka Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe
wa Mwaka huu “Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa
Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.
Mkurugenzi wa Shirika la
Kuhudumia Wazee Duniani(Help Age International)Smart Daniel akitoa
hotuba kuhusiana na Wazee katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee
Duniani yaliofanyika Chwaka Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo
Ujumbe wa Mwaka huu “Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na
Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii
Katibu Mkuu Wizara ya Kazi
Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Fatma Gharib Bilal akitoa
maelezo kuhusiana siku ya Wazee katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya
Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini
Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu “Tusonge mbele kwa kutumia
Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee
Vijana Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Castico akitoa hotuba ya
makaribisho kwa mgeni Rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya
Wazee Duniani yaliofanyika Chwaka Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini
Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu “Tusonge mbele kwa kutumia
Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika kuleta Maendeleo ya Jamii.
Mgeni Rasmi Waziri wa Afya
Mahmoud Thabit Kombo kushoto akimkabidhi Bihalima Pandu Mkaazi wa
Jambiani Kikadini kitambulisho maalum kitakacho msaidia kwa sasa kupata
Pensheni Jamii na kumrahisishia huduma mbalimbali za Afya na Usafiri
katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani yaliofanyika
Chwaka Wilaya ya Kati Mkoa w Kusini Unguja,ambapo Ujumbe wa Mwaka huu
“Tusonge mbele kwa kutumia Vipaji,Uzoefu,Busara na Ujuzi wa Wazee katika
kuleta Maendeleo ya Jamii.
No comments :
Post a Comment