Kaimu
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO) Masanja Kadogosa (kulia) na pamoja na
Mjumbe wa Bodi kutoka Kampuni ya
Ukandarasi ya Yapi Merkezi Insaat ya nchini Uturuki wakionyesha kwa waandishi
wa habari Mkataba wa ujenzi wa mradi wa
Reli ya Kisasa kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo
Septemba 29, 2017.
Kaimu
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO) Masanja Kadogosa (kulia) na pamoja na
Mjumbe wa Bodi kutoka Kampuni ya
Ukandarasi ya Yapi Merkezi Insaat ya nchini Uturuki wakisaini Mkataba wa ujenzi
wa mradi wa Reli ya Kisasa kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo
ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
Kaimu
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO) Masanja Kadogosa (kulia) na pamoja na
Mjumbe wa Bodi kutoka Kampuni ya
Ukandarasi ya Yapi Merkezi Insaat ya nchini Uturuki wakibadilishana Mkataba wa
ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa
hiyo ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
Kaimu
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO) Masanja Kadogosa akizungumza katika hafla
ya utiaji saini wa mkataba wa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa kutoka
Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hawa Ghasia akizungumza katika
hafla ya utiaji saini wa mkataba wa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa kutoka
Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
Baadhi ya Wahandisi kutoka kampuni ya
Ukandarasi ya Yapi Merkezi Insaat ya nchini Uturuki
wakifuatilia hafla ya utiaji saini saini wa mkataba wa mradi wa ujenzi wa reli
ya kisasa kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo
Septemba 29, 2017.
Baadhi ya Wafanyakazi kutoka shirika la Reli
Nchini (TRL) na kampuni hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO) wakifuatilia hafla ya utiaji saini saini wa mkataba wa mradi wa
ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo
ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano (Uchukuzi) Dkt. Leonard Chamuriho akizungumza akizungumza katika hafla ya
utiaji saini wa mkataba wa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Morogoro-
Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,
Profesa Makame Mbarawa akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Bodi ya Kampuni ya
Ukandarasi ya Yapi Merkezi Insaat ya nchini Uturuki, Erdem Ariogl pamoja na Kaimu Balozi wa nchini hiyo Yunus
Belet wakati wa utiaji saini wa mkataba wa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa
kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo Septemba 29,
2017.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,
Profesa Makame Mbarawa akizungumza
katika hafla ya utiaji saini wa mkataba wa mradi wa ujenzi wa
reli ya kisasa kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo
Septemba 29, 2017.(PICHA NA MAELEZO)
No comments :
Post a Comment