Afisa Uhusiano wa Simba Cement
Noor Mtanga kushoto akimkabidhi mifuko 500 ya Saruji Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Korogwe Mji,Jumanne Shauri kulia kwa ajili ya ujenzi wa
kituo cha Afya Majengo wilayani Korogwe ikiwa ni kuunga mkono kusaidia sekta
ya afya nchini kulia ni Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa
Korogwe,Dokta Elizaberth Nyema katikati ni Katibu Tawala wa wilaya ya
Korogwe (DAS) Rehema Bwasi
Meneja Usambazaji wa Kampuni ya
Saruji ya Simba Cement,Samuel Shoo kushoto akimkabidhi Mifuko 500 ya
Saruji Katibu Tawala wa wilaya ya Korogwe (Das) Rehema Bwasi kwa ajili
ya ujenzi wa kituo cha Afya cha Majengo wilayani humo wanaoshuhudia wa
kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Korogwe Mji,Jumanne Shauri ,Mganga Mkuu wa
Halmashauri ya Mji Korogwe,Dkt Elizaberth Nyema wa pili kutoka kushoto
ni Afisa Uhusiano wa Simba Cement Noor
Mtanga,Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
Meneja Usambazaji wa Kampuni ya
Saruji ya Simba Cement,Samuel Shoo kushoto akimkabidhi Mifuko 500 ya
Saruji Katibu Tawala wa wilaya ya Korogwe (Das) Rehema Bwasi kwa ajili
ya ujenzi wa kituo cha Afya cha Majengo wilayani humo wanaoshuhudia wa
kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Korogwe Mji,Jumanne Shauri ,Mganga Mkuu wa
Halmashauri ya Mji Korogwe,Dkt Elizaberth Nyema wa pili kutoka kushoto
ni Afisa Uhusiano wa Simba Cement Noor
Mtanga
Meneja Ubora wa Kampuni ya Saruji ya Simba
Cement,Samuel Shoo kushoto akimkabidhi mifuko ya saruji 160 Afisa
Mtendaji wa Kata ya Mlalo Catherine Mwakatundu kwa ajili ya Ujenzi wa Maabara katika
Kata
hiyo ikiwa ni kuunga mkono juhudi za kuinua elimu hapa nchini
wanaoshudhia ni Afisa Uhusiano wa Simba Cement Noor
Mtanga
Meneja Ubora wa Kampuni ya Saruji
ya Simba Cement,Samuel Shoo kushoto akimkabidhi mifuko ya saruji 160
Afisa Mtendaji wa Kata ya Mlalo,Catherine Mwakatundu kwa ajili
ya Ujenzi wa Maabara katika
Kata hiyo ikiwa ni kuunga mkono juhudi za kuinua elimu hapa
nchini wanaoshudhia ni Afisa Uhusiano wa Simba
Cement Noor Mtanga
No comments :
Post a Comment