Mkurugenzi
wa Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar, Bw. Hassan Khatib akizungumza na
Maafsa Habari wa Taasisi mbalimbali za Serikali kuhusiana na upashaji
habari za maendeleo katika taasisi zao kikao kilichofanyika Baraza la
Wawakilishi la Zamani Kikwajuni mjiniUnguja.
Afisa
wa Habari kutoka Ofisi ya Mtakwimu mkuu wa Serikali Salama Njani akitoa
mchango wake katika kikao cha maafsa habari kutoka Taasisi mbalimbali
kuhusiana na Utoaji wa Habari za maendeleo katika Taasisi zao kikao
kilichofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni mjini Zanzibar.
(PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR)
No comments :
Post a Comment