Mkuu wa
mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (wapili kulia), akimkabidhi Mkuu wa Jeshi
la Polisi (IGP) Simon Sirro (katikati), mchoro wa ramani ya nyumba za
Polisi za kisasa zitakazojengwa kufuatia za awali kuteketea kwa moto.
Hatua ya ujenzi imeanza mara moja kufuatia Mhe. Rais Dkt. John Magufuli,
kutoa kiasi cha shilingi milioni 260 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba
hizo. Wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Makampuni ya Hanspaul, Kamaljit
Singh, na kulia ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha (DCP) Charles Mkumbo
na wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Wakala ya Majengo Arusha Bw.
Victor,. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa
Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, akiagana na Mkuu wa mkoa wa Arusha,
Mrisho Gambo, alipomtembelea ofisini leo tayari kwa safari ya kurejea
Dar es salaam, baada ya kuwapapole na kukagua eneo la nyumba za Polisi
zilizoteketea kwa moto. Picha na Jeshi la Polisi.
No comments :
Post a Comment