Mkuu wa Kitengo cha Sheria kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii Jinsia Wazee na Watoto Bi. Vickness Mayao(kulia) akitoa maelekezo kuhusu
mikataba na masuala mbalimbali ya kisheria kwa wakuu wa vyuo vya Maendeleo ya
Jamii nchini katika mafunzo kwa wakuu wa Vyuo hao kuhusu Udhibiti wa Viashiria
Hatarishi katika Utendaji wa Vyuo hivyo yanayofanyika katika ukumbi wa Wakala
wa Mbegu za miti, mkoani Morogoro leo 01.08.2017.
Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii na Mwenyekiti wa Mafunzo Bw.
Paschal Mahinyila akiwakaribisha washiriki katika mafunzo Wakuu wa
vyuo hao kuhusu Udhibiti wa Viashiria Hatarishi katika Utendaji wa Vyuo hivyo
yanayofanyika katika ukumbi wa Wakala wa Mbegu za miti mkoani Morogoro leo
tarehe 01.08.2017.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii Bw. Patrick Golwike (kushoto) akifafanua
umuhimu wa uadilifu kwa Wakuu wa Vyuo vya Maendeleo ya Jamii(hawapo pichani)
katika utendaji kazi wa vyuo wakati wa mafunzo kwa wakuu wa vyuo hao kuhusu
Udhibiti wa Viashiria Hatarishi katika Uendeshaji wa Vyuo hivyo yanayofanyika
katika ukumbi wa Wakala wa Mbegu za miti, mkoani Morogoro leo 01.08.2017.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu kutoka Wizara ya Afya
Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Bibi Deodata Makani(kulia) akifafanua
mambo mbalimbali ya kiutawala kwa Wakuu wa Vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini
katika mafunzo kwa wakuu wa Vyuo hao kuhusu Udhibiti wa Viashiria Hatarishi
katika Utendaji wa Vyuo hivyo yanayofanyika katika ukumbi wa Wakala wa Mbegu za
miti, mkoani Morogoro leo 01.08.2017.
Mhasibu Mkuu kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia
Wazee na Watoto Bibi Fatuma Oloo(kulia) akisisitiza jambo kuhusu udhibiti wa
fedha kwa wakuu wa vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini katika mafunzo kwa wakuu
wa vyuo hao kuhusu Udhibiti wa Viashiria Hatarishi katika Utendaji wa Vyuo
hivyo yanayofanyika katika ukumbi wa Wakala wa Mbegu za miti, mkoani Morogoro
leo 01.08.2017.
Mkurugenzi wa Ugavi na Manunuzi kutoka Wizara ya Afya Maendeleo
ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Bibi Martha Chuma (katikati) akifafanua mambo
mbalimbali yahusuyo ugavi na manunuzi kwa wakuu wa Vyuo vya
Maendeleo ya Jamii nchini katika mafunzo kwa wakuu wa Vyuo hao kuhusu Udhibiti
wa Viashiria Hatarishi katika Utendaji wa Vyuo hivyo yanayofanyika katika
ukumbi wa Wakala wa Mbegu za miti, mkoani Morogoro leo 01.08.2017.
Mkaguzi wa ndani kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia
Wazee na Watoto Bibi. Elightness Mchome(katikati) akifafanua umuhimu wa kuepuka
hoja za ukaguzi kwa wakuu wa vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini katika mafunzo
kuhusu Udhibiti wa Viashiria Hatarishi katika Utendaji wa Vyuo hivyo
yanayoendelea katika ukumbi wa Wakala wa Mbegu za miti, mkoani Morogoro leo
01.08.2017.
Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Monduli Bw. Salim
Mgalla(kulia) akiuliza swali kwa wawezeshaji katika mafunzo kwa wakuu wa vyuo
vya Maendeleo ya Jamii nchini katika mafunzo kwa wakuu wa vyuo hao kuhusu
kuhusu Udhibiti wa Viashiria Hatarishi katika Utendaji wa Vyuo hivyo
yanayofanyika katika ukumbi wa Wakala wa Mbegu za miti, mkoani Morogoro leo
01.08.2017.
Mratibu wa Usimamizi wa Viashiria Hatarishi Bw. Moris Jackson
akifafanua masuala mbalimbali yahusuyo Viashiria Hatarishi kwa wakuu wa vyuo
vya maendeleo ya Jamii Nchini katika mafunzo kwa wakuu wa vyuo hao kuhusu
Udhibiti wa Viashiria Hatarishi katika Utendaji wa Vyuo hivyo yanayofanyika
katika ukumbi wa Wakala wa Mbegu za miti, mkoani Morogoro leo 01.08.2017.
Kaimu Mkuu wa Chuo (Utawala, Mipango na Fedha) Kutoka Chuo cha
Maendeleo ya Jamii Ruaha Bi.Nadhaherieth Mshighath akiuliza swali kwa
wawasilishaji mada (hawapo pichani) katika mafunzo kwa wakuu wa vyuo hao katika
mafunzo kwa wakuu wa vyuo hao kuhusu Udhibiti wa Viashiria Hatarishi katika
Utendaji wa Vyuo hivyo yanayofanyika katika ukumbi wa Wakala wa Mbegu za miti,
mkoani Morogoro leo 01.08.2017.
Watendaji kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee
na Watoto na washiriki kutoka Vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini wakifuatilia
kwa makini mafunzo ya Udhibiti wa Viashiria Hatarishi katika Utendaji wa Vyuo
vya Maendeleo ya Jamii nchini yanayofanyika katika ukumbi wa Wakala wa Mbegu za

Baadhi ya wakuu wa vyuo vya Maendeleo ya Jamii Nchini
wakifuatilia wawasilishaji mada(hawapo pichani) katika mafunzo kwa wakuu wa
vyuo hao kuhusu Udhibiti wa Viashiria Hatarishi katika Utendaji wa Vyuo hivyo
yanayofanyika katika ukumbi wa Wakala wa Mbegu za miti, mkoani Morogoro leo 01.08.2017.
(PICHA NA ERASTO CHING’ORO WAMJW).
No comments :
Post a Comment