Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto (Idara kuu
Maendeleo ya Jamii) Bibi Sihaba Nkinga akizungumza na wadau wa Maendeleo ya
jinsia wakati walipokutana kujadili maboresho ya Sera ya Maendeleo ya jinsia
na Wanawake iliyofanyika ukumbi wa Wizara iliyoko UDOM Dodoma, mkoani
Dodoma Agosti 8, 2017
Mtaalamu
Mwelekezi Prof. Lina Mhando akiwasilisha mada maalum katika kikao cha kujadili
maboresho ya Sera ya Maendeleoa ya Wanawake na jinsia Mjini Dodoma
Kamisha
Msaidizi Ustawi wa Jamii Bw. Twaha Kibalula akichangia hoja katika kikao cha
kujadili maboresho ya Sera ya Maendeleoa
ya Wanawake na Jinsia Mjini Dodoma
Mkurugenzi
wa Maendeleo ya Wa Watoto Bibi Magreth Musai akichangia hoja katika kikao cha
kujadili maboresho ya Sera ya Maendeleo ya
Wanawake na Jinsia Mjini Dodoma
Afisa
Maendeleo ya jamii Wilaya ya Kongwa Bw. Stephen Mwendi(katikati) akiuliza swali
kwa Mtaalamu Mwelekezi Prof Lina Mhando kuhusu maboresho ya Sera ya Maendeleo
ya Wanawake na jinsia inayojadiliwa Mjini Dodoma
Mwakilishi
kutoka Asasi isiyo ya kiserikali ya FPCT Bi. Witness Sangali akichangia katika
kikao cha maboresho ya Sera ya Maendeleo ya Wanawake na Jinsia inayojadiliwa katika
ukumbi wa Wizara UDOM, mkoani Dodoma
Afisa
Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na
Watoto Bw. Burton Mwakilembe akichangia hoja kuhusu maboresho ya Sera ya
Maendeleo ya Wanawake na Jinsia inayojadiliwa Mjini Dodoma
Baadhi
ya wadau wa Maendeleo ya Jamii wakifuatilia maoni ya washiriki kuhusu maboresho
ya Sera ya Maendeleo ya Jinsia na Wanawake inayojadiliwa katika ukumbi wa
Wizara UDOM, Mjini Dodoma

Wizara UDOM, Mjini Dodoma.(PICHA NA ERASTO CHING,ORO WAMJW).
No comments :
Post a Comment