Mtafiti
kutoka Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Mikocheni jijini Dar es Salaam
(MARI), Christina Kidulile (kushoto), akimuelekeza jambo mkulima, Ablali
Mohamed kuhusu matumizi ya mbegu bora, alipotembelea
banda la COSTECH , lililopo chini ya Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
katika Maonyesho ya Kitaifa ya Wakulima Nanenane yanayoendelea Viwanja
vya vya Ngongo mkoani Lindi leo. Katikati Mtafiti, Ismail Ngolinda
kutoka Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Ilonga Kilosa mkoani Morogoro na Bestina Daniel kutoka COSTECH.
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment