Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na wananchi wa Mbande, Kata ya
Chamazi, Tarafa ya Mbagala, Wilayani Temeke, jijini Dar es Salaam,
wakati alipofanya ziara katika eneo hilo yenye lengo la kuimarisha
ulinzi na usalama katika eneo hilo. Hata hivyo, Masauni aliamuru ujenzi
wa Kituo cha Polisi Mbande ambao utajengwa kwa michango ya wananchi na
Serikali uanze mara moja, na pia aliwataka wananchi kutoa taarifa kwa
kuwafichua askari polisi wanaohisiwa kushirikiana na wahalifu katika
eneo hilo.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndaniya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akimsikiliza Mkazi wa Mbande,
Mbagala, jijini Dar es Salaam, Muhidin Mafta aalipokua anamuuliza swali
kuhusu hali ya ulinzi na usalama katika eneo hilo. Ambaye alifanya
ziara katika eneo hilo yenye lengo la kuimarisha ulinzi na usalama,
aliamuru ujenzi wa Kituo cha Polisi Mbande ambao utajengwa kwa michango
ya wananchi na Serikali uanze mara moja, na pia aliwataka wananchi kutoa
taarifa kwa kuwafichua askari polisi wanaohisiwa kushirikiana na
wahalifu katika eneo hilo.
Naibu Waziri wa Mambo
yaNdaniyaNchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto),
akimsikilizaKamandawaPolisiMkoawaKipolisiTemeke, jijini Dar es Salaam,
KamishnaMsaidiziMwandamiziwaPolisi, Gilles
Muroto,alipokuwaanajibumswalimbalimbaliyawananchiwaMtaawaMagengeniMbande,
Mbagala, jijini Dar es Salaam.
Masaunialifanyaziarakatikaeneohiloyenyelengo la
kuimarishaulinzinausalamanaaliamuruujenziwaKituo cha
PolisiMbandeambaoutajengwakwamichangoyawananchinaSerikaliuanzemaramoja,
napiaaliwatakawananchikutoataarifakwakuwafichuaaskaripolisiwanaohisiwakushirikiananawahalifukatikaeneohilo
Diwaniwa Kata yaTuangoma,
WilayaniTemekejijini Dar es Salaam, Mohamed Mketo,
akimuonyeshaNaibuWaziriwa Mambo yaNdaniyaNchi, Mhandisi Hamad Masauni
(kulia), eneoambalolitajengwaKituo cha PolisiTuangoma, eneo la
Malelawilayanihumo.MasaunialifanyaziarawilayaniTemekeyenyelengo la
kuimarishaulinzinausalamakatikaeneohilo.
NaibuWaziriwa Mambo yaNdaniyaNchi,
Mhandisi Hamad Masauni, akiwasalimiaMaafisawaJeshi la
MkoawaKipolisiwaTemeke, jijini Dar es Salaam
wakatialipokuwaanawasilikatikaeneohilokwaajiliyakufanyaziarakuimarishaulinzinausalamakatikamaeneombalimbaliwilayaniTemeke.
KushotoniKamandawaPolisimkoanihumo,KamishnaMsaidiziMwandamiziwaPolisi,
Gilles Muroto.PichazotenaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi.
…………………………………
Na Felix Mwagara(MOHA)
NAIBUWaziriwa Mambo yaNdaniyaNchi,
Mhandisi Hamad MasauniamewatakawananchiwaMbande, wilayaniTemeke, jijini
Dar es Salaam,kushirikiananaJeshi la
Polisikuwafichuawahalifuambaowanahatarishaamaninautulivukatikaeneohilo.
Masaunipiaaliwatakawananchiwaeneohilo,
wawasilianenaKamandawaPolisiMkoawaTemekeendapowatamuonaaskaripolisiwaKituokidogocha
PolisiMbande au sehemuyoyotewilayanihumoanashirikianaau
anawateteawahalifukatikaeneowanaloishi.
AkizungumzanamamiayawananchiwaMtaawaMagengeniMbande,
Kata yaChamazi, wilayanihumo,
MasaunialisemaSerikaliyaMagufuliinapambanakwakuwaleteamaendeleowananchi
wake, kuwajalinakuwalindausikunamchana,
hivyoserikalihaitakubaliamaninautulivuwaeneohusikaipotee.
“RaisMagufulianapambanakukuzauchumiwanchihii,
viwandavinajengwasehemumbalimbalinchini, safari zanjezimezuiliwa,
mapatoyameongezekakwakiasikikubwa,
hivyomheshimiwaRaisanadhamiranzuriyamaendeleoyanchihii,nasisiwasaidizi
wake pamojanawananchiwotekwaujumlatunapaswakumuungamkonoRaiswetu,”
alisemaMasauni.
Alisemamaendeleoyanayoonekananchiniyanaendananaamanikatikamaeneoyetu,
hivyoilinchiijengwepiainahitajiamani, nandiomanaJeshi la
Polisihalilalilinafanyakazikubwakwaajiliyakulindaamaniyawananchi,
nandiomipangothabitiyaSerikaliyaAwamuyaTano.
Masaunikablayahotubayakekwawakaziwaeneohilo,
alisomewataarifaya Kata
hiyoyaUlinzinaUsalamanakuonajinsiwananchiwaeneohilowalivyojitoakuchangafedhanavifaakwaajiliyaujenziwaKituo
cha
Mbandeambachoalielekezaujenziwakituohichouanzeharakaiwezekanavyokwakuwawananchipamojanawadaumbalimbaliwamaendeleowamejitoakuchangiaujenzihuokwakiasikikubwa.
“Kutokananajinsimlivyojitoakatikakuchangiafedhapamojanamahitajimbalimbaliyaujenziwakituo
cha polisiMbande,
nimefarijikasananahatuahiyonaninaaamuruujenziuanzehataleo,waambieniwadaumbalimbaliwaliotoaahadisasawaanzekutekeleza,”
alisemaMasauni.
Kwaupande
wakeKamandawaPolisiMkoawaKipolisiTemeke,
KamishnaMsaidiziMwandamiziwaPolisi, Gilles
MurotoalipokeamaelekezoyaujenziwaKituo cha
PolisikuanzanaaliahidibegakwabegakushirikiananaSerikalipamojanawananchiwaeneohilokatikakukifanikishakituohichokinakamilika.
“Ujenziwakituohikikitasaidiasanakatikamapambanoyawahalifukatikamaeneoyetu,
hatahivyotunaombaushirikianowenuwakuwafichuawahalifumbalimbalikatikaeneomnaloishi,”
alisemaMurotonakuongeza;
“NawaombaviongoziwaSerikaliyaMtaaakikishenimnawajuawageniwanaokujakupanga
au kuuzanyumba, maanakunawahalifuwanawatumiamadalalikuuzanyumba au
kupangachumba, hivyomsiwapangishewatumsiowajua, kuwenimakini.”
Hatahivyo,
Murotokatikakuhakikishaulinziunaimarishwazaidikatikaeneohilo,
alitoanambayakeyasimuyamkononinakuwaelekezawananchikatikamkutanohuo,
wawehurukuitumiasimuhiyokatikamatukiombalimbaliyakikazikwalengo la
kuwasambaratishawahalifunapiakamawatapatauonevuwowotedhidiyaokwakutokutendwahakinabaadhiyaaskaripolisiwasiokuwawaaminifunakazizao,
wananchihaowampigie.
Katikahatuayakuungamkonojuhudihizozawananchikujitoleakuchangafedhanakutoavifaavyakujengakituo
cha polisi,
Masauninayealitoamchangowashilingimilionimbiliilikufanikishaujenziwavituoviwiliwilayanihumo,
ambapotayariBenkiya CRDB Mbandeilitoaahadiyakutoashilingimilionikumi,
MbungewaJimbo la Mbagalaalitoamifukoyasaruji, wafanyabiashara,
viongoziwa CCM,
wananchimbalimbalinaowalijitoakuchangafedhaambazozilikusanywanaKamandawaPolisiMuroto.
No comments :
Post a Comment