Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (pichani
katikati) alipokuwa akizungumza wakati wa kikao cha siku
moja kilichowajumuisha Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na
Michezo,Bodi ya Wakurugenzi ya Zanzibar na Uongozi wa Gazeti la
Zanzibar leo kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
leo Agosti 3, 2017. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)
Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi Serikalini Mhe.Mohamed Fakih akiwa na
Uongozi wa Gazeti la Zanzibar leo katika kikao cha siku moja kilichowajumuisha
Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo pamoja na Bodi ya
Wakurugenzi ya Zanzibar leo chini ya Mwenyekiti, Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika
ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Zanzibar leo Bi.Ummi Aley
(kulia) akiwa na Baadhi ya wajumbe wa Bodi hiyo alipokuwa akitoa maelezo
ya Bodi yake kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa kikao cha siku moja kilichowajumuisha
Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo pamoja na Uongozi
wa Gazeti la Zanzibar leo kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Unguja leo
No comments :
Post a Comment