Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza
na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa
Hifadhi ya Jamii na Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii katika kikao
cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu,(kushoto) Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,
Baadhi
ya Wajumbe wa Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF wakiwa katika
kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Uongozi wa
Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Hiafadhi ya Jamii chini ya Mwenyekiti
wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na
Mipango,Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii na Uongozi wa
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii katika kikao cha siku moja kilichofanyika
leo Ukumbi wa Ikulu,(wa pili kushoto) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi,
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Dkt.Suleiman
Rashid Mohamed (kuklia) alipokuwa akisoama taarifa kwa niaba ya Bodi
yake katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa
Ikulu,ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango pamoja
na Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii, chini ya Mwenyekiti wake Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani),[Picha na Ikulu] 02/08/2017.
No comments :
Post a Comment