Thursday, August 3, 2017

BODI YA KOROSHO YAZUNGUMZIA UPATIKANAJI WA DAWA YA SALFA


Katibu na Mwanasheria toka Bodi ya Korosho Bi. Ugumba Kilasa (kulia)  akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akielezea upatikanaji wa mbolea ya Salfa kwa wakulima wa korosho mapema hii leo Agosti 3, 2017 jijini Dar es Salaam, kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Idara ya habari Bw. Rodney Thadeus.




Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkaguzi wa ndani toka Bodi ya Korosho Bw. Christopher Mwaya wakati akielezea upatikanaji wa mbolea ya Salfa kwa wakulima wa korosho mapema hii leo jijini Dar es Salaam.(Picha na Eliphace Marwa – Maelezo).

No comments :

Post a Comment