KAMA
ILIVYOKUWA DESTURI YA WATANZANIA WAISHIO MAREKANI HAPO MIAKA YA NYUMA
KUKUTANA WAKATI WA “LABOR DAY WEEKEND” NDANI YA WASHINGTON DC,SASA
KUANZIA MWAKA HUU WATANZANIA WAISHIO WASHINGTON DMV WAMEAMUA KUIRUDISHA
DESTURI HIYO KWA KUANDAA REUNION KABAMBE KWA STYLE YA
KIPEKEE,IKIJUMUISHA MICHEZO YA WATOTO,WATU WAZIMA,CHAKULA,PAMOJA NA
VIBURUDISHO KUTOKA KWA WASANII MBALIMBALI KUTOKA TANZANIA NA
MAREKANI,HABARI KAMILI NA MPANGO MZIMA KUFUATA ILA KWA SASA WATANZANIA
WOTE WAANZE KUJIANDAA NA SAFARI YA WASHINGTON DC SEPTEMBER MOSI HADI
TATU.
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment