Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye wakisalimiana na
wananfunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyangao mkoani Lindi kwenye viwanja vya
Bunge jini Dodoma Julai 4, 2017. (PICHA
NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya
Sekondari Nyangao iliyopo Jimbo la Mtama mkoani Lindi kwenye viwanja vya Bunge
mjini Dodoma Julai 4, 2017. Kushoto kwake ni Mbunge wa Kuteuliwa, Mama Salma Kikwete
na wapili kushoto kwake ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment