![]() |
| Afisa wa SSRA Bw. Mashala Bukalasa,(kulia), akimuhudumia mwananchi aliyetembelea banda la LAPF kwenye maonesho ya 41 ya biashaya ya kimataifa ya Dar es Salaam. |
Afisa Mwandamizi wa Huduma za Sheria
kutoka SSRA, Bw. Omary Halfan akisikiliza kwa makini hoja za mmoja wa
wadau wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii alietembelea Banda la NSSF kwenye
Maonesho ya Sabasaba
Maafisa wa SSRA Bw. David Lyanga na
Imani Masebu wakijibu hoja mbalimbali za wadau waliotembelea banda la
PSPF wakati wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) jijini Dar
es Salaam
kurugenzi wa Fedha, Mipango na Usimamizi
wa Rasilimali Watu kutoka SSRA Bw. Mohamed Nyasama akibadilishana
mawazo ya maafisa kutoka na SSRA na GEPF alipotembelea banda la GEPF
kwenye Maonesho ya Sabasaba






No comments :
Post a Comment