Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi kayombo akielekeza
jambo wakati wa ziara ya kikazi ya kutembelea na kukagua barabara ya
Mawasiliano kuelekea Shule ya Sheria (Law school Of Tanzania)
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi kayombo akiwa na viongozi wengine wa shule ya Sheria Tanzania wakati wa ziara ya kikazi ya kutembelea na kukagua barabara ya Mawasiliano kuelekea Shule ya Sheria (Law school Of Tanzania)
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi kayombo akiwa na
viongozi wengine wa shule ya Sheria Tanzania wakati wa ziara ya kikazi
ya kutembelea na kukagua barabara ya Mawasiliano kuelekea Shule ya
Sheria (Law school Of Tanzania)
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi kayombo akiwasalimu wanafunzi wa Shule ya Sheria Tanzania wakiwa darasani wakati alipozuru Chuoni hapo wakati wa ziara ya kikazi

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi kayombo akisaini kitabu cha wageni wakati wa ziara ya kikazi

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi kayombo akisikiliza maelezo mafupi kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo cha sheria Tanzania Dkt Willium Palanjo kuhusu changamoto ya ubovu wa barabara wakati wa ziara ya kikazi

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi kayombo akizungumza na Viongozi wa Shule ya sheria Tanzania wakati wa ziara ya kikazi

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi kayombo akiwa na Viongozi wa Shule ya Sheria Tanzania wakati wa ziara ya kikazi

MD Kayombo alisema kuwa Fedha za matengenezo ya
barabara hutolewa na Bodi ya Mfuko wa Barabara (Road Fund) ambapo lengo
kuu ni kuhakikisha kuwa barabara zinapitika muda wote.
Kiwango cha
matengenezo kimefikia wastani wa asilimia 90 kwa matengenezo ya aina
mbalimbali hususani ya muda maalumu (Periodic maintenance), sehemu
korofi (Spot Improvement), matengenezo ya kawaida (Routine maintenance)
na ujenzi wa makalavati huku kiwango kikubwa pia kikitolewa na serikali
kwa ajili ya ujenzi wa barabara za lami.
Mwanzoni mwa mwezi Februari
serikali ilizitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini kuhakikisha
wanasimamia sheria katika utendaji wao wa kazi pamoja na kufanya kazi
kwa uadilifu, kutumia weledi wa taaluma zao katika kusimamia suala la
usafi wa mazingira,yakiwemo masuala ya kudhibiti biashara holela,
uegeshaji wa magari holela na ujenzi holela.
Mkurugenzi Kayombo
alisema kuwa barabara hiyo itakuwa na urefu wa kilomita 1.2 hivyo
kuhudumia wananchi wengi ambao wanataabika kwa adha ya ukorofi wa
barabara hiyo.

Kushoto ni Rais wa serikali ya
wanafunzi Shule ya sheria Tanzania Ndg Emmanuel Nyanza, Dkt Clement
Mashamba muhadhiri shule ya sheria Tanzanai, na Kaimu Mkuu wa Idara ya
Ujenzi na Zimamoto, wakati wa ziara ya kikazi ya Mkurugenzi wa Manispaa
ya Ubungo Ndg John Lipesi kayombo ya kutembelea na kukagua barabara ya
Mawasiliano kuelekea Shule ya
Sheria (Law school Of Tanzania)
Sheria (Law school Of Tanzania)
Na Mathias Canal, Dar es salaam
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi kayombo Tarehe 6 June
2017 amekagua na kujionea hali ya ubovu wa barabara inayotoka
Mawasiliano kuelekea Shule ya Sheria (Law school Of Tanzania) iliyopo
katika Kata ya Sinza Jijini Dar es salaam.

Akizungumza mara baada ya
kutembelea barabara hiyo katika ziara yake ya kikazi huku akiwa
ameambatana na Kaimu Mkuu wa Idara ya Ujenzi na zima moto Ndg Goodluck Mbanga,
Mkurugenzi Kayombo alisema kuwa matengenezo hayo yataanza hivi karibuni
ili kurahisha huduma za kijamii kwa watumiaji wa barabara hiyo wakiwemo
wananchi wa Mtaa wa Mawasiliano na Kata ya Sinza sambamba na wanafunzi
wa Shule ya Sheria.
kutembelea barabara hiyo katika ziara yake ya kikazi huku akiwa
ameambatana na Kaimu Mkuu wa Idara ya Ujenzi na zima moto Ndg Goodluck Mbanga,
Mkurugenzi Kayombo alisema kuwa matengenezo hayo yataanza hivi karibuni
ili kurahisha huduma za kijamii kwa watumiaji wa barabara hiyo wakiwemo
wananchi wa Mtaa wa Mawasiliano na Kata ya Sinza sambamba na wanafunzi
wa Shule ya Sheria.
MD Kayombo alisema kuwa Fedha za matengenezo ya
barabara hutolewa na Bodi ya Mfuko wa Barabara (Road Fund) ambapo lengo
kuu ni kuhakikisha kuwa barabara zinapitika muda wote.
Kiwango cha
matengenezo kimefikia wastani wa asilimia 90 kwa matengenezo ya aina
mbalimbali hususani ya muda maalumu (Periodic maintenance), sehemu
korofi (Spot Improvement), matengenezo ya kawaida (Routine maintenance)
na ujenzi wa makalavati huku kiwango kikubwa pia kikitolewa na serikali
kwa ajili ya ujenzi wa barabara za lami.
Mwanzoni mwa mwezi Februari
serikali ilizitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini kuhakikisha
wanasimamia sheria katika utendaji wao wa kazi pamoja na kufanya kazi
kwa uadilifu, kutumia weledi wa taaluma zao katika kusimamia suala la
usafi wa mazingira,yakiwemo masuala ya kudhibiti biashara holela,
uegeshaji wa magari holela na ujenzi holela.
Mkurugenzi Kayombo
alisema kuwa barabara hiyo itakuwa na urefu wa kilomita 1.2 hivyo
kuhudumia wananchi wengi ambao wanataabika kwa adha ya ukorofi wa
barabara hiyo.
No comments :
Post a Comment