Kamishna wa Vibali na Pasi
nchini, Musanga Etimba akitoa maelezo kwa mwananchi Oliver Gabriel,
aliyetembelea Banda la Idara ya Uhamiaji katika Maonesho ya 41 ya
Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere
barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mwananchi aliyetembelea Banda la
Idara ya Uhamiaji, Oliver Albert akiuliza maswali kwa Kamishna wa Vibali
na Pasi nchini, Musanga Etimba baada ya kutembelea Banda la Idara hiyo
katika Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye
Viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa,jijini Dar es
Salaam.Katikati ni Mdhibiti wa Pasipoti nchini, Mrakibu Mwandamizi Peter
Mwitwa. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Mrakibu Msaidizi wa Idara ya
Uhamiaji, Kitengo cha Uhusiano, Aziz Kirondomara (kushoto), akitoa
huduma kwa mwananchi aliyetembelea Banda la Idara hiyo katika Maonesho
ya 41 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu
Nyerere barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
No comments :
Post a Comment