Mkurugenzi
wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jaffer akiongea mapema leo
katika halfa ya kukabidhi vyeti vya kudhibitisha ubora wa kampuni na
bidhaa zinazokubalika Afrika Mashariki iliyofanyika hoteli ya
Kilimanjaro Kempinski, Dar es Salaam. Picha na Kajunason/Cathbert
Kajuna.
Wakurugenzi
na wawakilishi wa kampuni yaliyopata tuzo ya Superbrands wakimsikiliza
mkurungenzi wakati wa hafla ya kutoa vyeti kwa kampuni zenye sifa katika
hoteli ya Kilimanjaro Kempinski, Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jafer (kulia) akimkabidhi
Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya ChemiCotex (kushoto), Sumit
Bhatnagar watengenezaji wa dawa ya meno ya ‘Whitedent’ cheti cha
kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika Afrika Mashariki.
Mkurugenzi
wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jafer (kulia) akimkabidhi
Mhariri Mkuu wa ITV Tanzania, Steven Chuwa (kushoto) cheti cha
kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika Afrika Mashariki.
Mkurugenzi
wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jafer (kulia) akimkabidhi
Mhariri Mkuu wa The Guardian Ltd, Jesse Kwayu (kushoto) cheti cha
kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika Afrika Mashariki.
Mkurugenzi
wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jafer (kulia) akimkabidhi
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya MO Dewji, Barbara Gonzalez (kushoto) cheti
cha kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika Afrika
Mashariki.
Mkurugenzi
wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jafer (kulia) akimkabidhi
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Red Gold, Darsh Dandit (kushoto)
cheti cha kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika Afrika
Mashariki.
Mkurugenzi
wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jafer (kulia) akimkabidhi
Mkurugenzi wa Wateja Maalum wa benki ya NBC, Theobald Sabi (kushoto)
cheti cha kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika Afrika
Mashariki.
Wakurugenzi
na wawakilishi wa kampuni yaliyopata tuzo ya Superbrands wakiwa na
mkurugenzi wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jaffer (wa tatu kutoka
kushoto).
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment