Mbunge wa Sengerema Mh. William
Ngeleja yuko Idara ya Habari Maelezo sasa akizungumza kuhusu kurudisha
pesa zote za ESCRO Mil 40.4 alizopewa na mfanyabiashara James Rugemalila, amesema tayari
amerudisha TRA, Sh40.4 milioni alizokuwa amepewa na mfanyabiashara James
Rugemalira-Taarifa zaidi juu ya habari hii tutawaletea baadae.
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment