Balozi wa Tanzania Nchini Kenya
Dr. Pindi Chana akipokea zawadi kutoka kwa mtumishi wa LAPF Simboninsia
Ndosi alipotembelea banda la LAPF katika maonyesho ya biashara ya
Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, kulia anayeshuhudia
tukio hilo ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe
Balozi wa Tanzania Nchini Kenya Dr. Pindi Chana akisalimiana na Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe alipotembelea banda la LAPF katika maonyesho ya biashara ya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam,
Balozi wa Tanzania Nchini Kenya
Dr. Pindi Chana akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea banda
la LAPF katika maonyesho ya biashara ya Sabasaba barabara ya Kilwa
jijini Dar es salaam, kulia ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe
Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini
ya LAPF Prof. FAUSTINE BEE akipiga picha ya pamoja na wafanyakazi wa
mfuko huo wakati alipotembelea banda la mfuko wa Pensheni wa LAPF
katika viwanja vya Sabasaba.
Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya LAPF Prof. FAUSTINE BEE akikikaribishwa na Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe
wakati alipotembelea banda la mfuko wa Pensheni wa LAPF katika viwanja
vya Sabasaba kushoto ni Rehema Mkamba Afisa Mwandamizi wa Mawasiliano
LAPF.
Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya LAPF Prof. FAUSTINE BEE akizungumza na Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe wakati alipotembelea bandahilo.
Mtumishi wa LAPF Philbert Francis akimkabidhi zawadi mmoja wa wanachama wa LAPF alietembelea banda hilo.
No comments :
Post a Comment