Saturday, June 3, 2017

MAKINDA AWATAKA WANAWAKE KUJIAMINI ILI WAFANIKIWE KATIKA UONGOZI


KI8
Spika Mstaafu Anne Makinda akifurahia zawadi aliyopewa na  Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF), Dkt. Susanne Luther  wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko”  Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu kuanzia 2017 umelenga la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania,  Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU).

KI1
Spika Mstaafu Anne Makinda akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko”  Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu unalengo la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania,  Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU).
KI2
Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF), Dkt. Susanne Luther  akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua Mradi wa “Wanawake Viongozi – Nguvu ya Mabadiliko”  Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu unalengo la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. Kulia ni Mkuu wa Sehemu ya Uchumi na Utawala kutoka Umoja wa Ulaya (EU), Oliveier COUPLEUX na Mwakilishi Mkazi wa HSF Tanzania na Uganda, Bi. Julia Berger.
KI3
Baadhi ya washiriki wakifuatilia hotuba ya Spika Mstaa Anne Makinda (hayupo pichani) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi – Nguvu ya Mabadiliko”  Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu unalengo la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania,  Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU).
KI5
Mratibu wa Mradi wa “Wanawake Viongozi – Nguvu ya Mabadiliko” Bw. Herry Lugala akifafanua jambo kuhusu mradi huo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa hafla ya uzinduzi rasmi wa mradi huo  Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu unalengo la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020, unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania,  Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU).
KI6
Spika Mstaafu Anne Makinda akiteta jambo na  Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF), Dkt. Susanne Luther  wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko”  Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu kuanzia 2017 umelenga la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania,  Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU).
KI7
Spika Mstaafu Anne Makinda akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa WA Taasisi ya Women Fund Tanzania Bi. Rose Julius (kulia) wakati alipokuwa akitendelea maonyesho yaliyoenda sambamba na uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko”Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu kuanzia 2017 umelenga la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania,  Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU).
KI8
Spika Mstaafu Anne Makinda akifurahia zawadi aliyopewa na  Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF), Dkt. Susanne Luther  wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko”  Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu kuanzia 2017 umelenga la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania,  Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU).
KI9
Spika Mstaafu Anne Makinda akiagana na  Mwakilishi Mkazi wa HSF Tanzania na Uganda, Bi. Julia Berger wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko” Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu kuanzia 2017 umelenga la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania,  Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU). Kushoto ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF), Dkt. Susanne Luther.
KI10
Spika Mstaafu Anne Makinda na  Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF), Dkt. Susanne Luther  wakati katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza hafla ya uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko”  Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu kuanzia 2017 umelenga la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania,  Kituo cha Utawala
mwalo
Baadhi ya wavuvi wakiwa katika Mwalo wa Katonga Mkoani Kigoma wakijiandaa kwaajili kuingia katika Ziwa Tanganyika kuvua Dagaa.(PICHA NA MAELEZO)

No comments :

Post a Comment