Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj
Abdallah Bulembo akiingia ukumbini kuzungumza na Wajumbe wa Halmashauri
Kuu ya CCM Wilaya ya Kibondo, Mabalozi, watendaji wa CCM na wa Serikali,
leo Wilayani Kibondo akiwa katika mwendelezo wa ziara zake za Kichama
mikoani
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi, Tanzania, Alhajj
Abdallah Bulembo akiwa amewasili ukumbini tayari kwa kikao hicho.
Kushoto ni Katibu wa Jumuia hiyo mkoa wa Kigoma Nicholaus Zakaria,
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma Dk. Amani Kaborou na kushoto ni
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Kigoma, Mbunge wa Viti Maalum
Josephine Ngezabuke, Mbunge wa Mbambwe Atashasta Nditiye na Mwenyekiti
wa CCM Wilaya ya Kibondo Josephat Ntabindi.
Wajumbe wakishangilia bada ya Bulembo kuingia ukumbini
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kibondo Josephat Ntabindi akifanya utambulisho kabla ya kufungua kikao hicho
Wajumbe wakishangilia ukumbini
Mjumbe wa NEC Moshi Ngunga akisalimiabaada ya kutambulishwa kwenye kikao hicho. Kushoto ni Mbunge wa Mhambwe Atashasta Nditiye
Ofisa wa Makao Makuu ya Jumuia ya Wazazi Omar Kalolo akitamba ukumbini wakati akijitambulisha.
Ofisa kutoka Makao Makuu ya Jumuia ya Wazazi Ndu Mlami akisalimia baada ya kutambulishwa
Mwenyekiti
wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Kigoma, Mbunge wa Viti Maalum Josephine
Ngezabuke akijimwayamwaya ukumbini baada ya kutambulishwa
Mwenyekiti
wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Kigoma, Mbunge wa Viti Maalum Josephine
Ngezabuke akijimwayamwaya ukumbini baada ya kutambulishwa
Baadhi ya viongozi wa Chama, wakiwa ukumbini
Mtaalam
kutoka Idara ya Afya Wilaya ya Kibondo Joseph Kalogabwa akitoa maelezo
kwa wajumbe kuhusu njia ya kujikinga na ugonjwa wa Ebola
Mwenyekiti
wa CCM mkoa a Kigoma Dk Amani Kaborou akifanya utambulisho kabla ya
kumkaribusha Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi
Tanzania Alhaj Abdallah Bulembo, kuzungumza katika kikao hicho
Mbunge wa Muhambwe Atashashta Nditiye akisalimia baada ya kutambulishwa
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazi mkoa wa Kigoma Nicholaus Zakaria akisalimia baada ya kutambulishwa
Mjube wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj abdallah Bulembo akizungumza na wajumbe wakati wa kikao hicho
Mjube wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj abdallah Bulembo akizungumza na wajumbe wakati wa kikao hicho
Katibu
Msaidizi wa CCM wilaya ya Kibondo Mfaume Mkusa na Katibu wa Umoja wa
Vijana wa CCM katika Wilaya hiyo Pendo Machilu wakiwajibika kwa kuchukua
dondoo katika kikao hicho
Mkuu wa Wilaya ya Kibondo Lous Bura akitoa maelezo ya namna alivyosimamia ilani ya CCM ya 2015/20
Mmoja wa wajumbe akifuatilia kwa makini wakati Mkuu huyo wa wilaya akieleza utekelezaji wa Ilani
Mbunge wa Muhambwe akitoa maelezo ya jinsi anavyosimamia ilani ya CCM ya 2015/20
Mwalimu
Mstaafu John Busunzu akikabidhi waraka wake kwa Bulembo baada ya
kuusoma, Waraka huo pamoja na mambo mengine ulihusu kudai haki za wazee
wastaafu
Baadhi ya wajumbe wakimzawadia Bulembo asali
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimkabidhi sh 400,000/=
Diwani wa Viti Maalum Kata ya Buzunzu, Grace Zakaria baada ya wajumbe
kuchangishwa ukumbini kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa Ofisi ya CCM Tawi
la Busunzu.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimkabidhi sh 170,000/=
Katibu wa UWT Kata ta Lugonga Jane Kabiga baada ya wajumbe kuchangishwa
ukumbini kwa ajili ya ununuzi wa Baiskeli ya kufanyia kazi za Jumuia
hiyo katika kata.PICHA: BASHIR NKOROMO
No comments :
Post a Comment