Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi Mhandisi Harold Jackson Mtyana alipofanya ziara ya kikazi hivi karibuni. |
Katibu Mkuu Wizara ya Afya
Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo ya Jamii) Bi.
Sihaba Nkingaakitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya
kuwasili katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi alipofanya ziara ya
kikazi hivi karibuni.
Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya
Jamii Misungwi Mhandisi Harold Jackson Mtyana (kulia) akifafanua jambo
kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na
Watoto(Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga(kushoto) wakati Katibu Mkuu
huyo alipotembelea katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi kwa
ziara ya kikazi hivi karibuni.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya
Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo yaJamii) Bi.
Sihaba Nkinga( wa pili kulia) akiongozana na watendaji kutoka Wizarani
pamoja na viongozi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi
alipotembelea katika Chuo hicho kwa ziara ya kikazi hivi karibuni.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya
Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo yaJamii) Bi.
Sihaba Nkinga(wa tatu kulia) akimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya
Jamii Misungwi Mhandisi Harold Jackson Mtyana (kulia) alipokuwa
akimuelezea kuhusu chumba cha Kompyuta cha Chuo hicho wakati wa ziara
yake ya kikazi hivi karibuni.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya
Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo yaJamii) Bi.
Sihaba Nkinga akitumia moja ya Kompyuta zilizopo katika Chumba cha
Kompyuta cha Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi ikiwa ni mradi
uliwezeshwa kwa ushirikiano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Serikali ya Korea ya Kusini.
Muonekano Chumba cha Kompyuta cha
Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi ikiwa ni mradi uliwezeshwa kwa
ushirikiano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanznia na Serikali ya
Korea ya Kusini.(Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO Misungwi Mwanza).
No comments :
Post a Comment