Mwanamuziki
Ferre Gola wa Congo, Djany Pacha, akiwa hewani baada ya kubinjuka
sarakasi wakati wa onesho maalumu la kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya
Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es
Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana kutokana
na mauzo ya meza za onyesho hilo zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye
mahitaji maalumu katika shule za Uhuru Mchanganyiko na Wama.
Mwanamuziki
wa Kimataifa kutoka nchini Congo, Ferre Gola, (katikati) akiimba na
kucheza sambamba na wanenguaji wake wakati wa onesho maalumu la
kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye
Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30,
2017. Fedha zilizopatikana kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo
zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule za
Uhuru Mchanganyiko na Wama. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Waziri
wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Afrika
Mashariki, Balozi Dkt. Agostino Maige, akicheza sebene na muongoza
shughuli 'Mc' Mussa , wakati wa onesho maalumu la kusherehekea Uhuru wa
miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini
Dar es Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana
kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo zinasaidia kuchangia Wanafunzi
wenye mahitaji maalumu katika shule za Uhuru Mchanganyiko na Wama.
Rapa
Mwanamke Ruth Nzele, wa mwanamuziki wa Kimataifa kutoka Congo, Ferre
Gola, akirap wakati bendi yake ikitoa burudani katika onesho maalumu la
kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye
Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30,
2017. Fedha zilizopatikana kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo
zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule za
Uhuru Mchanganyiko na Wama.
Waziri
wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Afrika
Mashariki, Balozi Dkt. Agostino Maige, akipiga makofi kumshangilia
mnenguaji wa Ferre Gola, Ilunga Mulumba, wakati wa onesho maalumu la
kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye
Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30,
2017. Fedha zilizopatikana kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo
zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule za
Uhuru Mchanganyiko na Wama.
Mnenguaji
wa Mwanamuziki Ferre Gola wa Congo, Biffalo Yamado, akipagawisha
mashabiki wakati wa onesho maalumu la kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya
Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es
Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana kutokana
na mauzo ya meza za onyesho hilo zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye
mahitaji maalumu katika shule za Uhuru Mchanganyiko na Wama.
Mnenguaji
wa Mwanamuziki Ferre Gola wa Congo, Ilunga Mulumba, akipagawisha
mashabiki wakati wa onesho maalumu la kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya
Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es
Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana kutokana
na mauzo ya meza za onyesho hilo zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye
mahitaji maalumu katika shule za Uhuru Mchanganyiko na Wama.
WAZIRI
wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Afrika
Mashariki, Balozi Dkt. Agostino Maige, akimkabidhi cheti Mkurugenzi wa
Clouds Media Group, Joseph Kusaga, kwa kutambua mchango kufanikisha
onyesho la mwanamuziki Ferre Gola, la kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya
Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es
Salaam,usiku wa kuamkia jana Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana
kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo zinasaidia kuchangia Wanafunzi
wenye mahitaji maalumu katika shule za Uhuru Mchanganyiko na Wama.
Kulia ni Balozi wa Congo nchini Tanzania,Jean-Pierre Mutamba (kushoto)
ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage Ltd, na mratibu wa onyesho hilo,
Teddy Mapunda.
Mwanamuziki
wa Kimataifa kutoka nchini Congo, Ferre Gola, (katikati) akiimba na
kucheza sambamba na wanenguaji wake wakati wa onesho maalumu la
kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye
Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30,
2017. Fedha zilizopatikana kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo
zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule za
Uhuru Mchanganyiko na Wama.
Mwanamuziki
wa Kimataifa kutoka nchini Congo, Ferre Gola, (katikati) akiimba na
kucheza sambamba na wanenguaji wake wakati wa onesho hilo.
Mahojiano
Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage Ltd, Teddy Mapunda, akisoma hotuba yake wakati wa onyesho hilo.
Balozi wa Congo nchini, akisoma hotuba yeke
WAZIRI wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Agostino Maige, akisoma hotuba yake
Washirika na wadau wakipokea vyeti vya heshima
Mwanamuziki Christian Bella akitoa burudani
Wanamitindo wakipita mbele ya mashabiki waliohudhuria shoo hiyo huku shoo ikiendelea..
No comments :
Post a Comment