Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa William Lukuvi (katikati waliokaa)
akipiga picha ya pamoja na wanachama wa chama cha wapima Ardhi Tanzania,
baada ya kumaliza semina iliyofanyika jana katika hoteli ya Morena
Mjini Dodoma.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa William Lukuvi (wa pili kulia)
akisisitiza jambo wakati akifungua semina ya wanachama wa chama cha
wapima Ardhi Tanzania, iliyofanyika jana katika hoteli ya Morena Mjini
Dodoma.
Wanachama wa chama cha wapima ardhi Tanzania wakifwatilia semina iliyoendelea leo katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
No comments :
Post a Comment