Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka
ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Mtengela Hanga (wa pili kushoto
nyuma) akiwaongoza Wafanyakazi wa TAA Makao Makuu na Kiwanja cha Ndege
cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) kwenye maandamano ya Siku ya
Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es
Salaam.
Wafanyakazi wa mbalimbali wa
Serikali na binafsi wakishiriki sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani,
miongoni mwao ni kutoka Makao Makuu ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege
Tanzania (TAA) na Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere
(JNIA) pichani walivyojumuika na wenzao kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini
Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Kiwanja cha Ndege
cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege
Makao Makuu, wakiadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani kwenye uwanja wa
Uhuru Jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment