Katika hatua nyingine ndugu Humphrey Polepole ametoa Vyeti
kwa Wahitimu 268 na kupokea Wanachama Wapya wa CCM zaidi ya 65 na Kuwapa
Kadi za Uanachama na kisha kuwaongoza kula kiapo cha uaminifu ndani ya
CCM. Mahafali yaliyoudhuriwa na Wanachama 523.
Pages
Monday, May 1, 2017
HUMPHREY POLEPOLE KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI CCM AVUNA WANACHAMA VYUO VIKUU ARUSHA
Umoja wa Vijana wa Chama Cha
Mapinduzi Vyuo na Vyuo Vikuu katika Mkoa wa Arusha umekuwa na ugeni wa
Katibu NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Humphrey Polepole ambaye amekuwa
Mgeni Rasmi katika Mahafali ya Vijana wa CCM Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa
Arusha .
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment