Wednesday, May 10, 2017

FRIENDS OF OCEAN WAUNGA MKONO KAMPENI YA KIMATAIFA YA KUTUNZA FUKWE ZA BAHARI


Mkurungezi Mtendaji wa Koncept Krantz Mwantepele (mwenye tisheti nyekundu) ambao ni waratibu wa kampeni hii ya OKOA BAHARI akifafanua jambo kwa wadau wa Friends of ocean mara baada ya kumaliza usafi katika Fukwe za Escape One . OKOA BAHARI yenye lengo ikiwa ni moja ya juhudi za kuweka mazingira safi ya bahari ikiambatana na kuunga kampeni ya kimataifa ya kutunza fukwe na mazingira ya bahari kuelekea kutimiza  Agenda ya mwaka 2030 ya mpango wa maendeleo ya Umoja wa mataifa
Friends of oceans wakiendelea na usafi wa fukwe ya Escape one ikiwa kama uzinduzi wa kuanza usafi huo kwa kila mwezi na pia kuendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu umuhimu wa kutunza mazingira na rasilimali za bahari

 





Usafi ukiendelea katika fukwe ya Escape One ambapo kulikutwa chupa za bia,makopo ya maji, sindano na vingi ambavyo ni hatari kwa afya ya watumiaji wa fukwe hiyo  mapema mwishoni wa wiki iliyopita .
Friends of Ocean wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza usafi katika fukwe ya Escape One Mikocheni B kama uzinduzi wa kampeni ya  OKOA BAHARI yenye lengo ikiwa ni moja ya juhudi za kuweka mazingira safi ya bahari ikiambatana na kuunga kampeni ya kimataifa ya kutunza fukwe na mazingira ya bahari kuelekea kutimiza  Agenda ya mwaka 2030 ya mpango wa maendeleo ya Umoja wa mataifa .Kampeni hiyo inaratabiwa na kampuni ya KONCEPT

Mkurungezi Mtendaji wa Koncept Krantz Mwantepele (mwenye tisheti nyekundu) ambao ni waratibu wa kampeni hii ya OKOA BAHARI akiwa na wadau wa Friends of Ocean wakati wa  usafi uliofanyika katika fukwe ya Escape One
Muasisi na Kiongozi wa Friends Ocean Boss Brown (mwenye tisheti ya kijani) akifafanua jambo mara baada ya kumaliza usafi katika fukwe ya Escape One ikiwa ni uzinduzi wa kampeni ya Okoa Bahari ambayo  katika uzinduzi wa kampeni ya OKOA BAHARI yenye lengo ikiwa ni moja ya juhudi za kuweka mazingira safi ya bahari ikiambatana na kuunga kampeni ya kimataifa ya kutunza fukwe na mazingira ya bahari kuelekea kutimiza  Agenda ya mwaka 2030 ya mpango wa maendeleo ya Umoja wa mataifa .Kampeni hiyo inaratabiwa na kampuni ya KONCEPT


Fukwe ya Escape One mara baada ya kusafishwa na wadau wa Friends Of Ocean mwishoni wa wiki iliyopita 
Wakazi wa Mikocheni  B wanaounda Chama cha FRIENDS OF OCEANS wakisafisha fukwe ya Escape One katika uzinduzi wa kampeni ya OKOA BAHARI ikiwa ni moja ya juhudi za kuweka mazingira safi ya bahari ikiambatana na kuunga kampeni ya kimataifa ya kutunza fukwe na mazingira ya bahari kuelekea kutimiza  Agenda ya mwaka 2030 ya mpango wa maendeleo ya Umoja wa mataifa .Kampeni hiyo inaratabiwa na kampuni ya KONCEPT ,na usafi huo ulifanyika mapema mwisho wa wiki iliyopita.

No comments :

Post a Comment