Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe
Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakiangalia Chumvi ya aina tofauti ikiwemo ya
matumizi ya kawaida na ya Kuogea wakati walipotembelea katika eneo
linalotoa Chumvi kwa wingi Nchini Djibouti Lake Assal Port Mei 9, 2017 akiwa na
ujumbe wake akimalizia ziara ya kiserikali Nchini Djibouti kwa
mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe. Ismail Omar Guelleh.
(PICHA
NA IKULU YA ZANZIBAR)
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(wa pili
kulia) alipokuwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tadjoura Magharibi ya Nchi ya
Djibouti Mhe,Abdulmalik Mohammed (katikati) Mei 9, 2017 ambako alifika katika
eneo linalotoa Chumvi kwa wingi na inayotarajiwa kusafirishwa katika nchi mbali
mbali Duniani,Rais alifika katika sehemu hiyo jana akimalizia ziara yake ya
siku tatu Nchini Djibouti kwa mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe. Ismail
Omar Guelleh.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe
Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakiangalia Chumvi ya aina tofauti ikiwemo ya
matumizi ya kawaida na yakukogea wakati walipotembelea katika eneo
linalotoa Chumvi kwa wingi Nchini Djibouti Lake Assal Port akiwa na
ujumbe wake akimalizia ziara ya kiserikali jana Nchini Djibouti kwa
mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe. Ismail Omar Guelleh
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati)
wakipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Tadjoura Magharibi ya Nchi ya
Djibouti Mhe,Abdulmalik Mohammed (katikati) ambako alifika katika eneo
linalotoa Chumvi kwa wingi Nchini Djibouti ambapo alitembelea akiwa na
ujumbe wake akimalizia ziara ya kiserikali jana Nchini Djibouti kwa
mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe. Ismail Omar Guelleh
No comments :
Post a Comment